Hivi kwanini washabiki wa soka tunaidharau Azam namna hii?

Hivi kwanini washabiki wa soka tunaidharau Azam namna hii?

Hakuna anayeidharau Azam...

Sema mashabiki wengi akili zao zimejikita kwenye mpira wa Simba na Yanga...



Cc: mahondaw
 
Hakuna anayeidharau Azam...

Sema mashabiki wengi akili zao zimejikita kwenye mpira wa Simba na Yanga...



Cc: mahondaw
Azam ndio timu itakayo fika mbali jana wamempiga mtu 3

Yanga wao wamepata goli lampira wakufa na Leo simba watapata kagoli kamoja

Azam ndio timu nzuri
 
Azam wabadilike wanausimba mwingi wamepoteza uhalisia kwasababu ya ushabiki wao
Hao Azam walichangia sana lile bakuli lenu. Walienda mbali mpaka kutoa free air time kwenye Tv yao kutangaza namba za kuchangia bakuli. Ukiacha hayo Bakhressa amechangia ma lorry kibao ya kifusi kujanza bonde lenu pale jangwani. Kabla ya kulaumu Mtafute taharifa, mnaweza mkakosa msaada siku zijazo.
 
Back
Top Bottom