Hivi kwanini watoa bikra wengi ni wapita njia?

Hivi kwanini watoa bikra wengi ni wapita njia?

Basi mimi mke wangu ana bahati nilimtoa bikira na sikuwahi kumwacha nikaoa kabisa baada ya kudate nae miaka kama 7 hivi.
 
du kwa h
Kuwa amenitoa haniachii sikuwa na mdhamini sikuwa namjali nilimuona kama zoba tu kwanza mfupi nikapeleke wapiila ilinicost sana kaoa kwingine
iyo akakukula bikra yako tu akaondoka na njia? pole sana
 
Unakuta mwanamme anampa mwanaume uusichana wake ila sio mtu sahihi.
Mwanaume anakula tu nakusepa.
Hivi hii hali nikwanini hutokeaga hivyo??
Asilimia kubwa ni wapita njia??
Mwanamme anampa mwanaume usichana wake tena?
 
Umri wa anayetoa au kutolewa bikra unakuwa katika rika la masomoni au ujana,wengi wanakuwa bado kujipanga/kujitegemea au kujiandaa kimaisha.
 
Mara nyingi akili inakua haijakomaa na Hamu ya kutaka kujaribu 🤔
 
Back
Top Bottom