Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe wapi huko tenaNi imani gani hii ya siku hizi ya kukataa kutoa chenchi?
Hii nayo kaliPanahitaji elimu pana hasa vijijini
Wanachana pesa kidogo kisha wanatupa kipande eti kinga ya chuma ulete
Au kutupa pesa chini kisha kuisugua kwa mguu kisha unaokota pia nayo wanaita kinga
Kutemea pesa kabla ya kuchanya nazingine
Kuipaka mkojo kabla kuchanya na nyingine
......
.....
Chenchi ndio mdudu gani? Au alikuwa na maana ya change,hela inayosalia baada ya kununua kitu?Ni imani gani hii ya siku hizi ya kukataa kutoa chenchi?