Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Hivi kwanini watu wapole wako hivi?

Inatakiwa kua makini nao saana, kwa sababu you will not know mwisho wa uvumilivu wao.

Kuna demu nilikua nadate nae, akaanza kuleta vitimbwi ili kunipima, cha ajabu hata sikua na react japo nilikua na notice.

Akashangaa tu sijibu sms wala kupokea simu, Ndo ikawa imetoka hyo.

How comea mtu anatenda kosa ili aje aombe msamaha? Like seriously 😀
 
Mkuu, naona umechanganya wapole na wakimya...[emoji848][emoji848]
Kuna watu wanachanganya
Walpole
Wakimya
Wataratibu
Mimi na fall kwenye watu wataratbu,but most of time watu hudhani mimi ni mpole,
 
kwanini mna tuandafia wanawake/wanaume wazuri hawapendi pulukushani ndomaana unaambiwa ukitaka kizuri kuwa mpole
 
Back
Top Bottom