Inatakiwa kua makini nao saana, kwa sababu you will not know mwisho wa uvumilivu wao.
Kuna demu nilikua nadate nae, akaanza kuleta vitimbwi ili kunipima, cha ajabu hata sikua na react japo nilikua na notice.
Akashangaa tu sijibu sms wala kupokea simu, Ndo ikawa imetoka hyo.
How comea mtu anatenda kosa ili aje aombe msamaha? Like seriously π