Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Unakutana na mtu anaanza kumsema mwenzake huyo alikuwa mzinifu, Mara alikuwa na wanawake wengi maskini wakati mtu hajui hata K" inavyofanana.
Kuna wengine tuliupata kwa kushare vitu vyenye ncha kali, Kuna wengine tuliupata kwa kuhudumia wagonjwa, Kuna wengine tuliupata kwa kuongezewa damu, Kuna wengine tuliupata kwenye ajali, Kuna wengine ambao walizaliwa nao pia.
Leo nimeamua kuwasemea waliopata Hiv katika hali hizo, Na ambao wanapitia dhihaka mbalimbali kutoka kwa Wanadamu watakatifu na huku hao Wanadamu watakatifu wakiwaambia kwa kujiamini, Wewe ulikuwa malaya ndo maana upo katika hali hiyo.
Nawapa ushauri hakikisheni mnawashauri watoto wadogo madhara ya kushare vitu vyenye ncha kali. Maana kuna case za kutosha kuhusu hii njia.
Narudia tena nyie Wanadamu punguzeni kuhukumu watu.
Maneno yangu ni hayo