Hivi kwanini watu wengi wanahisi kila mwenye maambukizi ya HIV alifanya ngono?

huu ugonjwa umewekwa sehemu mbaya sana….bora ungewekwa kwenye pombe
 
Elimu juu ya hilo n kidogo sana, kwahivyo watu wanaweka imani zaidi kwenye ngono tu kama ndo chanzo pekee...Elimu inahitajika sana katika hilo. ✊️ nakusupport apo mkuu
 
Ilisemwa sana kuwa UKIMWI unaambukizwa kwa kujamiana, kufanya ngono zembe ndio ikazoeleka kuwa ngono ndio chanzo kikuu cha kapata UKIMWI
 
Mwezi uliopita jama alinipigia simu amemkuta mtoto wake anchezea syringes kwenye dustbin la jirani,nanzile syringe ni blood stained,akaniambia anampeleka hospitali kumuanzishia PEP,imagine Hugo dogo angekua na mzazi sio muelewa,dogo angekua anakaa na mfanyakazi wa ndani,unadhanj angejisumbua?
Unakaa na mfanyakazi wa ndani,hujui hali yake,anapiga miswaki yote Kabaka ya ninyi kuamka,kiwembe anachonyolea "Pubic hair",mtoto wake anachongea penseli.
Shukuru kwa hali uliyonayo,na tuache kuhukumu
 
Ni wewe ndio unaamini wala miki siamini hivo
 
Wewe usifanye watu wajinga bwana sawa.Katika njia hizo nne za kuupata/ kuambukizwa huo ugonjwa ni njia moja pekee inaasilimia zaidi ya 95.Alafu unakuja hapa kusema nini ebu kadanganye watoto wenzio huko.

📌📌U cant came out clean while fighting in mud!!!
 
Tatizo linaanzia kwenye jamii ya watz ni mambululaaaa .Hii nchi watu wanishi kiholelaholela, sheria hazifatwi.

Sasa twende taratibu hizo syringe zilifata nini kwenye dustbin la nyumbani.Sometimes mkubali kuvuna ujinga unaopanda.


SURVIVAL OF THE FITTEST!!!
 
Ugonjwa huu umekaa pabaya...🤣
Mwisho wa kunukuu
 
Leo ndo nimeamini Waafrika hatuna akili, Na Mimi ningelikuwa na uwezo basi hii dunia yote ningeichakaza kwa tsunami ama tetemeko.

Nimepitia comments za Wadau nimegundua wengi wao hawana akili.

Hivi si ni hawa hawa wanaokesha kanisani na misikitini basi nimeamini nyie ni mbumbumbu na Mungu wenu pia ni mjinga
 
Tena wanaokomenti usenge ni malaya wenye wapenzi zaidi 10.
Dunia kwanini umeruhusu Wanadamu wa namna hii waishi?

Daah kweli nimeamini Afrika unaweza ukazikwa ukiwa Hai.
 
Huyu nae ni great thinker...
Hebu ncheke mie....kie..kie..kie.ee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…