Hivi kwanini watu wengine ni wabahili sana?

Hivi kwanini watu wengine ni wabahili sana?

Ashle

Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
6
Reaction score
3
Na watu hao upenda sana vya wenzao, kwa ufupi naweza sema "chako changu changu changu" ndio style yao, kwani kuna mtu anazikwa na pesa au gold,jamani? Some people need change,
 
lol! sasa na ww ya nini kutolea macho vya watu? cha mtu movie,lol
 
I wish that ws easy cz huyo mtu ameolewa na anapesa na anaishi kwangu hata centi sijawai kuiona ikileta food mezani,,

"ameolewa, ana pesa, anaishi kwako" mbona sijaelewa.
 
I wish that ws easy cz huyo mtu ameolewa na anapesa na anaishi kwangu hata centi sijawai kuiona ikileta food mezani,,
Kakuolea wewe? Kwa nini akutwishe msalaba wake?
 
Back
Top Bottom