Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Kwa kiwaita wafanyabiashara washamba automatically na mimi umeniita mshamba indirect
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfanya biashara ananunua mali kufuatana na soko. Sasa kama magari yenyewe ni machache kwa nini utumie pesa nyingi kuagiza spare ambayo itakaa dukani miaka mitano au sita bila kununuliwa. Unanuanua bidhaa insayotoka kwa haraka. Hiyo ndiyo biashara. Kununua bidhaa isiyotoka ni huduma!Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,, sijui ndio ushamba au ndio kukosa maarifa ya kibiashara (business strategies"), au ni ulimbukeni!!???
Kusema ukweli nashindwa kuwaelewa kabisa. Yani haiwezekani jiji la Arusha na Dar es salaam nzima nimezunguka kila kona ya kutafuta spare parts ya Honda crod road eti hamna. Wanasema eti mpaka Nairobi au uagize kutoka Japan.
Kwa kifupi gari zote za Honda Spare zake wanadai ni ngumu kupatikana.
Sasa najiuliza fursa zote hizo wanazowaachia wenzao wa Kenya na nje za nje wakibiashara hawaoni kama wanapoteza!??
WAFANYA BIASHARA WA Watanzania MBADILIKE KWA KWELI.
MUACHE TABIA YA KUFANYA BIASHARA KWA MAZOEA.
Fungua, lakini mali isiyotoka si ya kutegemea katika biashara. Labda uwe na zingine zinazotoka saana kufidia zisizotoka kirahisi.Ngoja nifungue duka la kuuza spea ngumu kupatikana
Unatafuta spea gani boss?Moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,, sijui ndio ushamba au ndio kukosa maarifa ya kibiashara (business strategies"), au ni ulimbukeni!!???
Kusema ukweli nashindwa kuwaelewa kabisa. Yani haiwezekani jiji la Arusha na Dar es salaam nzima nimezunguka kila kona ya kutafuta spare parts ya Honda crod road eti hamna. Wanasema eti mpaka Nairobi au uagize kutoka Japan.
Kwa kifupi gari zote za Honda Spare zake wanadai ni ngumu kupatikana.
Sasa najiuliza fursa zote hizo wanazowaachia wenzao wa Kenya na nje za nje wakibiashara hawaoni kama wanapoteza!??
WAFANYA BIASHARA WA Watanzania MBADILIKE KWA KWELI.
MUACHE TABIA YA KUFANYA BIASHARA KWA MAZOEA.
Hatuna muda na spea ya gari ya kijinga ,, try again laterMoja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,, sijui ndio ushamba au ndio kukosa maarifa ya kibiashara (business strategies"), au ni ulimbukeni!!???
Kusema ukweli nashindwa kuwaelewa kabisa. Yani haiwezekani jiji la Arusha na Dar es salaam nzima nimezunguka kila kona ya kutafuta spare parts ya Honda crod road eti hamna. Wanasema eti mpaka Nairobi au uagize kutoka Japan.
Kwa kifupi gari zote za Honda Spare zake wanadai ni ngumu kupatikana.
Sasa najiuliza fursa zote hizo wanazowaachia wenzao wa Kenya na nje za nje wakibiashara hawaoni kama wanapoteza!??
WAFANYA BIASHARA WA Watanzania MBADILIKE KWA KWELI.
MUACHE TABIA YA KUFANYA BIASHARA KWA MAZOEA.
Hatuna muda na spea ya gari ya kijinga ,, try again later
Hapa ndo utakuwa unamprove right, ndo ushamba wenyewe huu. Honda ni moja ya brand zinazokubalika mbele huko, Europe, US na Australia haswa CRV, Accord etc. Sawa sawa na Mazda CX 3, CX 5, CX 9,Hyundai (hasa tucson na santafe), KIA hasa Sorento. Hizi zote huku kwetu ni adimu
Kama hoja ni low demand inaeleweka kabisa, ila Honda sio gari ya kijinga
Usimchakaze mwenzio maksudi!! huo ni ushetani, alete sasa atamuuzia nani? vigari venyewe vinavyo hitaji hizo spare ni vitatu jiji zima sasa mpka viharibike ni leo????!!Ukileta spare za magari kama Volvo Honda Benzi Ford chovelarate hapa Tz utaua mtaji watanzania 90% nimasikini wanaendesha magari ya kimasikini toyota, kutoka Japan tena sio Toyota zote ni selective kama ist, specio hiace wish corona corolla nk. Kama wewe ni strategic business man leta hizo spare,
Daaa!! nadhani wewe km shule ni divisio zero plus!! sasa sisi ni tawi la hayo manchi uloyatamka??? ukitaka kuendesha hayo magari ka kae huko!!!!! Pasport tutakupa bure lkn ukija hapa fuata yetu utake usitake utapanda trekta mjini!!! hkn shida!!Hapa ndo utakuwa unamprove right, ndo ushamba wenyewe huu. Honda ni moja ya brand zinazokubalika mbele huko, Europe, US na Australia haswa CRV, Accord etc. Sawa sawa na Mazda CX 3, CX 5, CX 9,Hyundai (hasa tucson na santafe), KIA hasa Sorento. Hizi zote huku kwetu ni adimu
Kama hoja ni low demand inaeleweka kabisa, ila Honda sio gari ya kijinga