baraka bb
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 2,691
- 3,884
RohombayaDah.....wazee wetu waliijua miiko mingi sana...tatizo tu hawakuweza kuelezea kisayansi...Kwa ufupi gramu 40 ( kama nusu mshikaki) unamtosha binadamu MTU mzima kwa wiki moja ....zaidi ya hapo unatia sumu mwilini....au kilo 1 ya nyama kwa watu 25 kwa wiki...au familia ya watu 4 inahitaji bajeti ya kilo 8½ tu kwa mwaka....kwasababu za kiafya..[emoji13]