Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wakuu,

Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"

Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?

Aliigiza filamu ya mwisho lini?

Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?

Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
 
Ni mwigizaji wa filam, bongo movie aliigiza girlfriend na kina t.i.d kama sikosei!
 
Ni mwigizaji wa filam, bongo movie aliigiza girlfriend na kina t.i.d kama sikosei!
Mwaka gani?

Alikuwa msanii maarufu pale?

Sasa si aitwe tu muigizaji wa zamani?
 
Inamaana mkuu ujawahi kuona filamu za wema
 
Mtu anakwambia amewekeza bilioni saba kwenye biashara ya vipodozi na kununua nyumba ya zaidi ya shilingi milioni 200 halafu akadakwa akiiba umeme na maji kisha akafukuzwa na mwenye nyumba bado tu hujaona ni usanii huo?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…