Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
We mjini umekuja lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yake yenyewe ya kisanii ndio maana anaitwa msanii, yani kila kitu anaigiza, nadhani umenielewaHabarini Wakuu,
Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"
Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?
Aliigiza filamu ya mwisho lini?
Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?
Kwanini anaitwa Msanii maarufu?
Hahahahaha kweli kabisaaaaMtu anakwambia amewekeza bilioni saba kwenye biashara ya vipodozi na kununua nyumba ya zaidi ya shilingi milioni 200 halafu akadakwa akiiba umeme na maji kisha akafukuzwa na mwenye nyumba bado tu hujaona ni usanii huo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanaume wa mkoani kwenye ubora wako.
Enzi zile jiji linazizima kwa filamu ya Girlfriend ulikuwa unapalilia zao gani kule kijijini kwenu?!
Kwani wote wanakuja/kwenda mjini? labda wengine uulize wamezaliwa lini?
Mjini ndio wapi?
1000 x 1000 = 1,000,000 p.m
Si haba
Kulinganisha na kutokuwa na hiyo app
Ukiongezea na skendo ya jana anaweza fikisha hata 2,000
Sio sawa na kujaa bure
Ila si haba.....Ila kwa kuongelea Africa lazima anategemea watu min 1m, labda atawapa siku moja.
1m kwake kulipa mambo na matumizi haimtoshi kabisa, yaani kwa lifestyle anayopenda kuishi.
Posta na simuPosta ipi?
FilamuHabarini Wakuu,
Huwa ninawashangaa sana wale wote wanaomwita Wema Sepetu kuwa ni "Msanii Maarufu"
Najiuliza ni Msanii maarufu katika tasnia ipi?
Aliigiza filamu ya mwisho lini?
Aliwahi kutoa single au Album ya nyimbo ipi na lini?
Kwanini anaitwa Msanii maarufu?