Hivi Kwanini Wema anaitwa Msanii? Ni msanii kwenye tasnia ipi?

Maisha yake yenyewe ya kisanii ndio maana anaitwa msanii, yani kila kitu anaigiza, nadhani umenielewa
 
Nchi yote tukishakuwa wasanii hivyo ni sawa tu, yaani kama hapa jf kila member ni 'mkuu' hata kama anapost upupu!
 
Mtu anakwambia amewekeza bilioni saba kwenye biashara ya vipodozi na kununua nyumba ya zaidi ya shilingi milioni 200 halafu akadakwa akiiba umeme na maji kisha akafukuzwa na mwenye nyumba bado tu hujaona ni usanii huo?
Hahahahaha kweli kabisaaaa
 
Msanii wa maigizo ya maisha yake mwenyewe,
 
1000 x 1000 = 1,000,000 p.m

Si haba

Kulinganisha na kutokuwa na hiyo app

Ukiongezea na skendo ya jana anaweza fikisha hata 2,000

Sio sawa na kujaa bure

Ila kwa kuongelea Africa lazima anategemea watu min 1m, labda atawapa siku moja.

1m kwake kulipa mambo na matumizi haimtoshi kabisa, yaani kwa lifestyle anayopenda kuishi.
 
Ila kwa kuongelea Africa lazima anategemea watu min 1m, labda atawapa siku moja.

1m kwake kulipa mambo na matumizi haimtoshi kabisa, yaani kwa lifestyle anayopenda kuishi.
Ila si haba.....

Hata mbuyu ulianza kama mchicha

Msapoti vya nyumbani
 
Usanii wa tigo, unaujua..? biashara tamu hiyo acha tu, wanunuaji tuko wengi bana
 
Filamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…