Hivi kwanini Wema anapendwa?

ukisikia superstar ndio wema unampenda tu hata hujui kwa nn unampenda na kila unavyofanya watu wanazidi kumpenda
 
Ni huruma ya jamii mbele ya utawala wa Lofa Makonda ambae hajui hata maana ya criminal case.
 
Na bado utazidi kujiona tofauti saana kama TATIZO NI NYOTA* BONYEZA RELI#
 
Ndivyo ilivyo kila mtu kazaliwa na bahati yake so ukiitumia vyema inaweza ikawa faida kwako ukitumia vibaya itakuletea athar,kuna watu wanampenda adolph hitler pmj na maovu yote aliyoyafanya duniani kwa kuuwa jews 6 mils,kuna watu wanampenda scorpion na ukatili wake wote ule,kuna vitu vinapendwa with no reason huu ndio uumbaji wa bwana Mungu
 
Charismatic character.... utake usitake.. wizara ya sanaa na bunge vilikuwa kimya alivyowekwa ndani tu.. ,noma... influence kuwa kuliko hata diamond.. sema haimbi
 
Me kasauti kake tu ananikosha kwakweli akiwa anahijiwa kama naangalia kipinde dushe yangu huwa inakua na wakati mgumu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Diamond mwenyewe 40 ya mwanae haikuwa na kiki wala hakuna aliekuwa na habari kama ipo u haipo akaona noma kaingia na gia ya kumualika wema now mitandao imefahamu kuwa Diamond ana tukio, kwa nini Wema katajwa.. anapendwa kwa kuwa anapendeka ukimpenda hana hiyana hana nyondo ana show love.
 
\
anapendwa na nani binafsi
sitaki hata kumuona




binti yangu asione hata picha yake

kinachonikera ni sauti yake yaani nikimsikia naweza kutapika
nachukia anavyoendesha maisha yake kwa media
nachukia anavyolambalamba mate ya wanaume
nachukia kwasababu mpaka muda huu anajiona mtoto wa secondary kumbe ni mzee tayari...........
 
kifupi, wema ni mama huruma
 
Hahahaaa ww dada
 
Why waste your energy kumchukia mtu unayemfahamu through media? Amechagua fungu lake na ndivyo aishivyo. Mlee mwanao kwa maadili pia ukimwomba Mungu amsimamie. Usidhani waliopotoka wote, wazazi wao wamehusika. A child is an individual and so aweza kuwa mtu ambaye hukumtarajia baadaye. Let her be, this Wema chick. Maisha yake yanakuathiri vipi?
 
unauhakika namfahamu kwa media ................. ur very wrong instead dont waste ur energy kuwazia mambo ambayo si ya kweli........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…