Hivi kwanini Wema anapendwa?

Hivi kwanini Wema anapendwa?

ukisikia superstar ndio wema unampenda tu hata hujui kwa nn unampenda na kila unavyofanya watu wanazidi kumpenda
 
Ni huruma ya jamii mbele ya utawala wa Lofa Makonda ambae hajui hata maana ya criminal case.
 
Sina maana ya kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu.

Sasa linapokuja suala la Wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..

Najiona tofauti sana, Hivi Wema mnampendea nini??
Ndivyo ilivyo kila mtu kazaliwa na bahati yake so ukiitumia vyema inaweza ikawa faida kwako ukitumia vibaya itakuletea athar,kuna watu wanampenda adolph hitler pmj na maovu yote aliyoyafanya duniani kwa kuuwa jews 6 mils,kuna watu wanampenda scorpion na ukatili wake wote ule,kuna vitu vinapendwa with no reason huu ndio uumbaji wa bwana Mungu
 
Charismatic character.... utake usitake.. wizara ya sanaa na bunge vilikuwa kimya alivyowekwa ndani tu.. ,noma... influence kuwa kuliko hata diamond.. sema haimbi
 
Diamond mwenyewe 40 ya mwanae haikuwa na kiki wala hakuna aliekuwa na habari kama ipo u haipo akaona noma kaingia na gia ya kumualika wema now mitandao imefahamu kuwa Diamond ana tukio, kwa nini Wema katajwa.. anapendwa kwa kuwa anapendeka ukimpenda hana hiyana hana nyondo ana show love.
 
Nonsense, sema unampenda

Nape-na-Wema.jpg
 
\
Sina maana ya
kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna

mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu.

Sasa linapokuja suala la Wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..

Najiona tofauti sana, Hivi Wema mnampendea nini??

anapendwa na nani binafsi
sitaki hata kumuona

binti yangu asione hata picha yake

kinachonikera ni sauti yake yaani nikimsikia naweza kutapika
nachukia anavyoendesha maisha yake kwa media
nachukia anavyolambalamba mate ya wanaume
nachukia kwasababu mpaka muda huu anajiona mtoto wa secondary kumbe ni mzee tayari...........
 
Wema anapendwa kwasababu moja kuu..ana kuwa na SKENDO/KASHFA nyingi za mapenzi na anaziruhusu zijulikane.

Akitulia akaacha hizi skendo-skendo za mapenzi, KAMWE wanaompenda hawawezi kumpenda.

Kwaiyo ili azidi kupendwa lazima apore bwana wa mtu.. lazima atembee na mume fulani.. lazima amnyakue kigogo fulani.. lazima kuwe na fumanizi linalomuhusu nk nk.

Tuwe wakweli, habari nyingi za namna hii ndio watu wengi wanazipenda.

Lakini let's say Wema atulie tuli.. Hakuna atakaempenda.

Vimbwanga na hasa kashfa nyingi za Mapenzi ndio zinamfanya apendwe.
kifupi, wema ni mama huruma
 
Diamond mwenyewe 40 ya mwanae haikuwa na kiki wala hakuna aliekuwa na habari kama ipo u haipo akaona noma kaingia na gia ya kumualika wema now mitandao imefahamu kuwa Diamond ana tukio, kwa nini Wema katajwa.. anapendwa kwa kuwa anapendeka ukimpenda hana hiyana hana nyondo ana show love.
Hahahaaa ww dada
 
anapendwa na nani binafsi aitaki hata kumuona
binti yangu asione hata picha yake

kinachonikera ni sauti yake yaani nikimsikia naweza kutapika
nachukia anavyoendesha maisha yake kwa media
nachukia anavyolambalamba mate ya wanaume
nachukia kwasababu mpaka muda huu anajiona mtoto wa secondary kumbe ni mzee tayari...........
Why waste your energy kumchukia mtu unayemfahamu through media? Amechagua fungu lake na ndivyo aishivyo. Mlee mwanao kwa maadili pia ukimwomba Mungu amsimamie. Usidhani waliopotoka wote, wazazi wao wamehusika. A child is an individual and so aweza kuwa mtu ambaye hukumtarajia baadaye. Let her be, this Wema chick. Maisha yake yanakuathiri vipi?
 
unauhakika namfahamu kwa media ................. ur very wrong instead dont waste ur energy kuwazia mambo ambayo si ya kweli........
 
Back
Top Bottom