Hivi kwanini Wema anapendwa?

Huwa sielewi watu wazima kabisa wanaposema Wema ana Nyota kali wakati tunajua skendo na matukio ndio zinafanya awe anasikika.
Nyota ya kazi gani ikiwa projects na biashara zinaanguka?Unasemaje kuwa Diamond anatafuta kiki kwa Wema wakati Diamond anafahamika internationally na Wema mwisho Uganda na Kenya?How?
Neno Kiki linatumika vibaya.
 
kwakweli[emoji23]
 

Wewe ni mtu wake Wa karibu au?! Maana unatoa shutuma nzito kwa information za tabloids na umbea tu naona
 
Ni mtiiiiiifu sana ndo mana anapendwa!!! Ni mtizamo tuuu
 

The Lord will heal ur soul from jelousy.. nimesoma comment yako ila yani the hate energy uliyotumia nimeihisi
 
Think tanks wa global publishers waliamua iwe hivyo ili wamtumie kutengeneza hela...ulimwengu wa media ni wa kishetani sana,unaweza kuamua nini jamii iongelee na kwa wakati gani refer to a shift from sakata la njaa to sakata la unga!
 
The Lord will heal ur soul from jelousy.. nimesoma comment yako ila yani the hate energy uliyotumia nimeihisi
Dont waste ur time si lazima kila mtu ampende huyu malaya mbwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] ptyuuuuuu namchukia kwakweli boguz hana faida yoyote alizaliwa kwa ajili ya kukazwa tu na kila mwanaume anayepita mbele yake mpaka aingie sita futi ardhini tehetehe na ile sauti woiii GOD FORBID[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]



zarina beautiful with brains........
 
Waulize wabunge hasa wa CCM watakueleza kwa nini anapendwa na mchango wake kwenye awamu hii.
 

TAKUWA TU NI MTU MUUNGWANA INGAWA SIMFAHAM, ILA MTU MUUNGWANA, MUELEWA NA OPEN MINDED HUWA ANAPENDWA TU
 
Too much hate bwana why? Si umpende tu zarina no one is perfect under the sun usipokuwa muhhuni basi msengenuaji, mwenye husuda, no duniani hatuwezi kuwa sawa hata vidole havifanani, sasa wote wakiwa wako njema upstairs wasio jielewa watakuwa kina nani? Aliye msafi ndo awe wa kwanza Ku hukumu kuna watu tabia mbovu sema tu hawajulikani.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
namchukia kwakweli.......
 
Kweli kuna kipindi Sinta alikuwa maarufu kwenye vyombo vya habari! Lakini alipoturia nadhani hata vijana waliozaliwa juzi hawamtambui kabisa kama kuna Star wa filamu alikuwa anaitwa Sinta!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
namchukia kwakweli.......
Mpuuzie tu usijipata maradhi bure mi mwenyewe alikuwa ana kera ila kuna vtu namkubali. Hata cjui ni kwanini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…