Hivi kwanini Wema anapendwa?

Hivi kwanini Wema anapendwa?

Sina maana ya kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu.

Sasa linapokuja suala la Wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..

Najiona tofauti sana, Hivi Wema mnampendea nini??

Anapendewa dramas baaaaaasiiiii,msanii yupi mwingine ulishawahi ona akawa na uthubutu wa kuita media kwenda kuwaonesha nyumba ya watu na kuwatangazia watu kuwa ni ya kwake? Jibu ni hakuna ila wema aliweza, ni msanii yupi alishawahi ona amefake mimba, kisha akaenda kuifanyia launching kwwnye media mimba fake, jibu hakuna ila wema alithubutu, to mention few, dramas dramas drams ndizo zinamfanya wema kuwa wema
 
Sina maana ya kumchukia Wema Sepetu, ila navyomona ni mtu wa kawaida tu kama wengine, kuna mastaa kibao bongo wanaofahamika kwa kazi zao na wanapendwa kawaida tu.

Sasa linapokuja suala la Wema naonaga anapendwa kwa jinsi alivyo tu kiasi kilichopitiliza..

Najiona tofauti sana, Hivi Wema mnampendea nini??
Binafsi huwa namuona mshamba flani hv na mtumwa wa wazungu.Hv kwanini mtu asiukubali uafrica wake?Hv huwezi kuonekana mtu mpaka umuige Mzungu?Hv kwanini huwa haongei sentensi moja ya kiswahili kitupu lazima achanganye na kiingereza?Pia anasahau umri nao unampa mkono na akumbuke uzee hauna dawa...hicho kisauti chake cha maigizo soon kitageuka kibesi..muda utasema.
 
Tafuta kujua ni watu wa aina gani wanaompenda...utapata jibu zuri.
 
Kuna jamaa yangu anachakaa kwa kuendekeza pombe, na kila nikimuuliza anazipendea nini hiyo mipombe ananitolea tu mimacho.
 
Yaaani hilo swali nimejiuliza siku zote sijapata jibu. Nimeamua kumuuachia mwenyewe
 
Back
Top Bottom