chelsea fc
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 864
- 212
thats wat makes a man being one!yani ni raha ile mbya kutumia hela ya mume wangu!yangu ntanunulia maua,mashuka,karoti,picha za ukutani,mayonnaise,viungo vya biriani,na any other women stuffsKwanini mwanamke hata kama anauwezo wa kifedha kuliko mwanaumme still atataka mwanaume afanye kila ki2 ukiondoa mahitaji ya ndani km chakula na v2 vingine,kwanini hawa wasaidizi wanakuwa hivyo,atataka vocha,nauli ingali anafedha za kumtosha kila k2!
Utegemezi tu. Mke dizaini hiyo sitaki.
Kwanini mwanamke hata kama anauwezo wa kifedha kuliko mwanaumme still atataka mwanaume afanye kila ki2 ukiondoa mahitaji ya ndani km chakula na v2 vingine,kwanini hawa wasaidizi wanakuwa hivyo,atataka vocha,nauli ingali anafedha za kumtosha kila k2!
tena napenda ile mna akaunti tatu...ya mume,ya mke na ya pamoja....halafu zote tatu mume ndo anadeposit...tehteh....tusipowaomba mnanuna mnadai tuna kiburi,tukiwaomba oh wategemezi!ah mi naomba tu tena kila siku lazima nipewe ya mafuta au nauli,zangu zina kazi nyingine jamani!
tena napenda ile mna akaunti tatu...ya mume,ya mke na ya pamoja....halafu zote tatu mume ndo anadeposit...tehteh....
Fedha yangu ni yangu, fedha zake ni za kwetu. Upo.....
Fedha yangu ni yangu, fedha zake ni za kwetu. Upo.....
Hiyo ni kawaida sana kwani wanawake tumeumbwa kupokea hata maumbile yetu yanapokea yenu yanatoa,kwa mantiki hiyo msilalamike jamani mkiwa mnatoa vitu vingine si tunavipokea hamlalamiki hela ndio mnaleta mada kabisa humu jamvini....