hivi kwanini?

hivi kwanini?

mimi nashirikiana na mume wangu kwa kila kipato tupatacho,nikijidai changu ni changu chake ni chetu itahamia nyumba ndogoo hahahah easy to control his poket nikiweka mezani naye anaweka tunabagain hii ndio maisha wandugu au sio my big brother HorsePower
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni kawaida sana kwani wanawake tumeumbwa kupokea hata maumbile yetu yanapokea yenu yanatoa,kwa mantiki hiyo msilalamike jamani mkiwa mnatoa vitu vingine si tunavipokea hamlalamiki hela ndio mnaleta mada kabisa humu jamvini....

sasa mbona huwa mnabwata na kudai haki sawa??? Mara sijui ooooo 50 ,50
 
mimi nashirikiana na mume wangu kwa kila kipato tupatacho,nikijidai changu ni changu chake ni chetu itahamia nyumba ndogoo hahahah easy to control his poket nikiweka mezani naye anaweka tunabagain hii ndio maisha wandugu au sio my big brother HorsePower
Naunga mkono hoja!
 
Back
Top Bottom