MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,447
Hiyo ni kawaida sana kwani wanawake tumeumbwa kupokea hata maumbile yetu yanapokea yenu yanatoa,kwa mantiki hiyo msilalamike jamani mkiwa mnatoa vitu vingine si tunavipokea hamlalamiki hela ndio mnaleta mada kabisa humu jamvini....
Naunga mkono hoja!mimi nashirikiana na mume wangu kwa kila kipato tupatacho,nikijidai changu ni changu chake ni chetu itahamia nyumba ndogoo hahahah easy to control his poket nikiweka mezani naye anaweka tunabagain hii ndio maisha wandugu au sio my big brother HorsePower