Wewe ulitaka iwekwe picha ya muuza nini ili uone ndio sawa?Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
Bila shaka wewe ni muuza mkaa ndio maana jiwe lililotupwa gizani limekupata..teh!..teh!!Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
Vitu vingine sio vya ku-complicateIna maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
Hahahahaa! kwahiyo nawewe mkuu unawadharau wauza karanga sasa?Muuza karanga
kama hivyo unavyolalama..