Hivi kwann

Hivi kwann

ezedabext

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
378
Reaction score
118
Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
 
Wewe ulitaka iwekwe picha ya muuza nini ili uone ndio sawa?
 
Ina maana gani mtu kuweka kwenye nyimbo yake kava la muuza mkaa hii inamaanisha kuwa wauza mkaa ndo watu Wenye hali ya chini sana au ndo fikra za watu mbovu
Bila shaka wewe ni muuza mkaa ndio maana jiwe lililotupwa gizani limekupata..teh!..teh!!

Mbona ni kawaida tu? Kazi ni kazi.
 
Back
Top Bottom