Salaam kwenu, Jana nilienda kwenye kituo flani Cha afya(private) nikiwa na kesi ya vipele kwenye ngozi.
Baada ya maelezo yangu daktari aliniandikia dawa za aina 3 ila akasema hawezi kunipa za siku 14 kwani Serikali hairuhusu hivyo akaniandikia siku7.
Wakati anaandika akadai kuwa itabidi niongezee pesa kidogo huko kwa mhasibu kwani bima yangu hailipi hizo dawa zote.
Kweli nilipofika kwa mhasibu nilitakiwa kuongeza elfu4 ili nipeee dawa hizo ambazo ni; doxy, amplicox na nyngn yakupaka.
Najiuliza, kama kweli hizi dawa zimeshindwa kulipiwa na bima yangu,itakuwaje nikipata kesi inayohitaji matibabu makubwa zaidi? Au hii issue nimaamuzi tu ya baadhi ya hospital?