Hivi kweli huu mchongo wa mtandao uitwao VGM ni halisi?

Michongo kama hiyo fanya hivi. Ingiza mtaji mkubwa chap. Ingiza tena mkubwa. Ingiza mara ya 3 tena mkubwa zaidi. Yaani hela yote unayoipata iingize yote. Fanya hivyo mara kadhaa. Then toa mtaji wako wote kaa pembeni,tulia
Dah kweli maisha ni kamari
 
Ilikuaje mkuu mpaka ikafaikia hatua ukakubali matokeo Kwamba umepigwa
Mimi niliweka 250,000 ili mdogo angu awe anavuna lengo ni asinisumbue na mahitaji ya shule. Sikufanikiwa kuvuna hata mia Waziri mkuu wakati huo Mzee Mizengo Kayanza Pinda aliingilia kati na kufunga account za DECI zote ndio ukawa mwisho. Sheria za nchi haziruhusu upatu. Pesa zenu ikitokea zikashikiliwa ndio inakuwa imeisha.
 
Dah aisee, pole mkuu na hiyo kampuni ilikuwa Ina makao yake makuu hapa bongo au ilikuwa ni nje ya nchi?
 
Dah kweli maisha ni kamari
Hiyo lazima tu serikali itaipiga stop huko mbele. Hasa tatizo inakuwaga kwenye muundo. Maana faida wanayokupa leo wewe ni ile waliyoichukua kwangu na kwa Hamis jana. Kwa hiyo haina mfumo wa hiyo faida inakotoka. Kwa hiyo hapo cha kufanya ni vuna vuna chap chap,then STOP
 
😂😂 Lakini watu wanazidi kuliwa siku baada ya siku
 
Walikuwa na ofisi kabisa watu mnapanga foleni kuwekeza cash. Ubaya wenye kuvutia DECI ilianzia kwenye makanisa ya kiroho huko. Watu walianza kupanda mbengu na kuziombea. Watu wakawaamini sana. Mimi nilipata fedha moja 1M mzee sehemu niliyokuwa naishi alinishauri niiweke yote nianze kuvuna 1M per week na 2M per month maana ilikuwa inamature baada ya one week nikagoma. Baada ya mwezi mmoja ndio nikaweka hiyo 250k ikaenda na maji.

Ila tayari kuna jamaa zangu walikuwa wameshakula bata sana na hizo pesa. Waliishi maisha ya anasa chuo. Watu wanakuja kushtuka na kuwekeza ndio zinasepa na mzee pinda. Fikiria watu waliweka ada za chuo 2m-3M
Dah aisee, pole mkuu na hiyo kampuni ilikuwa Ina makao yake makuu hapa bongo au ilikuwa ni nje ya nchi?
 
Walikuwa na ofisi kabisa watu mnapanga foleni kuwekeza cash. Ubaya wenye kuvutia DECI ilianzia kwenye makanisa ya kiroho huko. Watu walianza kupanda mbengu na kuziombea. Watu wakawaamini sana. Mimi nilipata fedha moja 1M mzee sehemu niliyokuwa naishi alinishauri niiweke yote nianze kuvuna 1M per week na 2M per month maana ilikuwa inamature baada ya one week nikagoma. Baada ya mwezi mmoja ndio nikaweka hiyo 250k ikaenda na maji.

Ila tayari kuna jamaa zangu walikuwa wameshakula bata sana na hizo pesa. Waliishi maisha ya anasa chuo. Watu wanakuja kushtuka na kuwekeza ndio zinasepa na mzee pinda. Fikiria watu waliweka ada za chuo 2m-3M
Dah aisee
 
kuwa makini kuna Mama alikuwa RPC akalizwa na Mimi ndo nilenda kumpa pole.
 
Huo mchongo mwanangu, bonge la mchongo. Weka pesa haraka usije kuchelewa nafasi zikaisha. Nakuonea wivu soon unaenda kuwa milionea mkubwa sana

Utavuna pesa nyingi sana
 
Back
Top Bottom