Hivi kweli huyu Kanoute angeweza kumzidi Chikwende Uwezo?

Ni bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.
Pengine wangesajili watano tu, ungekuja na lawama nyingine kwamba kwa nini hawajazitumia nafasi 12 walizopewa. Kumbuka Simba inacheza CAFCC
 
Watanzania tuna penda vitu vya vya haraka sana hatuna uvumilivu nakumbuka hata bwalya alisemwa sana,
Huyo kanoute amecheza mechi ngapi mpaka una mfananisha na chikwendwe mtu kpata majeraha kama mara mbili hivi hana match fitness ila wabongo mshaanza kuwasikiliza wachambuzi uchwara.
 
Hivi ni mimi tuu ndo simuelewi Bwalya au
 
Naona mumekimbia uzi watanzania wanafiki sana wanaenda na upepo,
Jamaa kuwapoteza hakuna aucho bangala wala feisal huyo ndo kanoute bado banda na duncun nyoni.
 
Mimi nilichogundua ni kwamba wachezaji wa Simba karibu wote ni wazuri sana kwenye plan ya kushambulia tu. Wanakosa ubora kwenye mfumo wa kujilinda.
Sahihi kabisa mkuu, hiyo ndiyo shida ya Simba.

Dabi ya juzi watakuwa walifokewa sana kuhusu hilo, ndiyo unaona angalao walijitoa sana. Hali iliyowashangaza Yanga. Hawakutarajia kucheza na SIMBA ya aina ile.

Kiungo akinyanganywa mpira hajishughulishi anawaachia mabeki wapambane wenyewe.

Kupanga mashambulizi Simba wako vizuri Sana.
 
Naona mumekimbia uzi watanzania wanafiki sana wanaenda na upepo,
Jamaa kuwapoteza hakuna aucho bangala wala feisal huyo ndo kanoute bado banda na duncun nyoni.
Kanoute bado alikua Kama mkude, kumbuka Yanga wakiwa wanashambulia waliweza kuvunja line zote za Simba, yaani battle ilikua line ya mwisho Mayele na Onyango au Mayele na inonga Ina maanisha japo timu ya Simba ili paki basi bado Yanga waliweza kumchezesha Feisal na Mayele.

Ilikua ni bahati tu Mayele akuweza kufunga.Mbaya zaidi bado Simba wakianzisha mipira Mingi ilikua inatoka kwakua walikua wakishindwa kwenda mbele kwa kasi. Tangu ameondoka James Kotei Simba awajapata mtu sahihi katika ene Hilo. Maana Thadeo Lwanga kila mechi lazima apate kadi ya Njano alafu ni mzito Sana.
 
Naona mumekimbia uzi watanzania wanafiki sana wanaenda na upepo,
Jamaa kuwapoteza hakuna aucho bangala wala feisal huyo ndo kanoute bado banda na duncun nyoni.
Hahah!kanishikia hao utopwnyoo....kaimbwaa sanaa huyo aucho ila alichomfanyia kanoute hata wakikutana njian hatomsalimia
 
Yani yaya toure wa simba unamfananisha na chikwende
 
Maelezo meeeengi ila namba hazidanganyi
 
Wewe redio, unajiskia raha ukidanganya watanzania?
Hakuna Move ya maana iliyoanzishwa ni Mid za Yanga.
Mara zote yanga walizofika golini, ilikuwa ni mipira mirefu from defense line yao...
 
Yaani dilisha dogo Simba tutafute kiungo mkabaji wa uhakika -- ikiwezekana hata wawili kabisa--- mechi ya juzi nilishangaa Sana Saidoo--anachukua mpira ana- useti- anakimbia nao na kupiga shuti kali- bila usumbufu kabisa-- bahati uligonga mwamba--l-akini bila kusahau eneo la kiungo Cha ushambuliaji napo hapako vizuri- kina Bwalya hata siwaelewi kabisa- mwisho tumalizie na mshambuliaji mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…