ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Msajilini nyie yanga basiSimba hawana uwinga kumzidi Chikwende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msajilini nyie yanga basiSimba hawana uwinga kumzidi Chikwende.
Shiboub alikuwa fundi haswa sijui kwa nn aliachwaKahata, Kanda na Shiboub.
Simba ilipoteza hazina
Pengine wangesajili watano tu, ungekuja na lawama nyingine kwamba kwa nini hawajazitumia nafasi 12 walizopewa. Kumbuka Simba inacheza CAFCCNi bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.
Hivi ni mimi tuu ndo simuelewi Bwalya auWatanzania tuna penda vitu vya vya haraka sana hatuna uvumilivu nakumbuka hata bwalya alisemwa sana,
Huyo kanoute amecheza mechi ngapi mpaka una mfananisha na chikwendwe mtu kpata majeraha kama mara mbili hivi hana match fitness ila wabongo mshaanza kuwasikiliza wachambuzi uchwara.
Duh?Chikwende na uyo mbwa banda au shoga sakho bora uchezeshe Adam salamba
Madalali wa soka wabaya sanaNi bora Simba ingetumia gharama kubwa kwa wachezaji wachache wa kigeni wa uhakika hata watano tu kuliko kutumia nafasi zote kumi magarasa matupu.
Sahihi kabisa mkuu, hiyo ndiyo shida ya Simba.Mimi nilichogundua ni kwamba wachezaji wa Simba karibu wote ni wazuri sana kwenye plan ya kushambulia tu. Wanakosa ubora kwenye mfumo wa kujilinda.
Kanoute bado alikua Kama mkude, kumbuka Yanga wakiwa wanashambulia waliweza kuvunja line zote za Simba, yaani battle ilikua line ya mwisho Mayele na Onyango au Mayele na inonga Ina maanisha japo timu ya Simba ili paki basi bado Yanga waliweza kumchezesha Feisal na Mayele.Naona mumekimbia uzi watanzania wanafiki sana wanaenda na upepo,
Jamaa kuwapoteza hakuna aucho bangala wala feisal huyo ndo kanoute bado banda na duncun nyoni.
Hahah!kanishikia hao utopwnyoo....kaimbwaa sanaa huyo aucho ila alichomfanyia kanoute hata wakikutana njian hatomsalimiaNaona mumekimbia uzi watanzania wanafiki sana wanaenda na upepo,
Jamaa kuwapoteza hakuna aucho bangala wala feisal huyo ndo kanoute bado banda na duncun nyoni.
Maelezo meeeengi ila namba hazidanganyiKanoute bado alikua Kama mkude, kumbuka Yanga wakiwa wanashambulia waliweza kuvunja line zote za Simba, yaani battle ilikua line ya mwisho Mayele na Onyango au Mayele na inonga Ina maanisha japo timu ya Simba ili paki basi bado Yanga waliweza kumchezesha Feisal na Mayele.
Ilikua ni bahati tu Mayele akuweza kufunga.Mbaya zaidi bado Simba wakianzisha mipira Mingi ilikua inatoka kwakua walikua wakishindwa kwenda mbele kwa kasi. Tangu ameondoka James Kotei Simba awajapata mtu sahihi katika ene Hilo. Maana Thadeo Lwanga kila mechi lazima apate kadi ya Njano alafu ni mzito Sana.
Huyo Kanoute alicheza kiungo peke yake,? ushabiki hua unatoa watu akili
Wewe redio, unajiskia raha ukidanganya watanzania?Kanoute bado alikua Kama mkude, kumbuka Yanga wakiwa wanashambulia waliweza kuvunja line zote za Simba, yaani battle ilikua line ya mwisho Mayele na Onyango au Mayele na inonga Ina maanisha japo timu ya Simba ili paki basi bado Yanga waliweza kumchezesha Feisal na Mayele.
Ilikua ni bahati tu Mayele akuweza kufunga.Mbaya zaidi bado Simba wakianzisha mipira Mingi ilikua inatoka kwakua walikua wakishindwa kwenda mbele kwa kasi. Tangu ameondoka James Kotei Simba awajapata mtu sahihi katika ene Hilo. Maana Thadeo Lwanga kila mechi lazima apate kadi ya Njano alafu ni mzito Sana.
Yaani dilisha dogo Simba tutafute kiungo mkabaji wa uhakika -- ikiwezekana hata wawili kabisa--- mechi ya juzi nilishangaa Sana Saidoo--anachukua mpira ana- useti- anakimbia nao na kupiga shuti kali- bila usumbufu kabisa-- bahati uligonga mwamba--l-akini bila kusahau eneo la kiungo Cha ushambuliaji napo hapako vizuri- kina Bwalya hata siwaelewi kabisa- mwisho tumalizie na mshambuliaji mmoja.Kanoute bado alikua Kama mkude, kumbuka Yanga wakiwa wanashambulia waliweza kuvunja line zote za Simba, yaani battle ilikua line ya mwisho Mayele na Onyango au Mayele na inonga Ina maanisha japo timu ya Simba ili paki basi bado Yanga waliweza kumchezesha Feisal na Mayele.