Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.

Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.

Timu ya JKU imeanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani dhidi ya Pyramids kwa mabao 6-0 uliochezwa kwenye uwanja wa June 30 uliopo Misri.

Soma Pia: Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

SIASA HIZI!!!!
 
Hata mchicha ulianza kama mbuyu, wacha wacheze watazidi kukua na kuimarika.
 
Yaani kisa tu ni haki ya znz kama nchi. Timu ambayo inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.

Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.

SIASA HIZI!!!!
Wanadhalilisha nchi
 
Sidhani wana hilo wazo la kukua kisoka na kufanya vizuri. Yaani wao fahari yao ni kutambulika tu kama nchi. Ndio maana hata wafungwe goli 20 hawaumii
Kufungwa ni ishu ya uwezo, hata simba na yanga tulitoka huko kwenye kufungwa goli nyingi. Sio kupenda kwetu ilikuwa ni kuzidiwa uwezo.
 
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ambayo inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.

Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.

SIASA HIZI!!!!
Pyramids sio timu ya mtaani mkuu,kama ulikusudia pyramids.
Maana hata kihistoria pyramids ina historia kubwa ki CAF kuliko simba na Yanga.
 
Huu ni ubaguzi
Kuna wabaguzi kuliko nyie. Hata nipewe milioni 500 nikaishi huko mwaka mmoja nitakataa. Kama wewe ni wa kule basi huna haki ya kuzungumza neno UBAGUZI
 
Back
Top Bottom