Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

Kuna wabaguzi kuliko nyie. Hata nipewe milioni 500 nikaishi huko mwaka mmoja nitakataa. Kama wewe ni wa kule basi huna haki ya kuzungumza neno UBAGUZI
Unaposema simba ana stahili kwenda klabu bingwa na sio jku Ni wazi unaonesha sio mtu wa mpira au ni MBAGUZI.Simba ameshindwa kwenda kwa uwezo wake,na hao wamekwenda kwa uwezo wao.WAPE HESHIMA YAO
 
Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.

Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.

SIASA HIZI!!!!
Iwe bojo,kesho tunakuja hapo nyakahanga primary tuone kama mtatufunga
 
Back
Top Bottom