Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Utawasikia "tushawavua bara koti la Muungano kwenye Mpira, Bado turudishiwe kiti chetu UN"Wenyewe hawana hiyana.Ilimradi wameingia tu kwenye historia kwamba walicheza ligi kubwa Afrika.Ntoshaaaa!π
Kazi wanayo.Hicho kiti wanachokitaka si watakua kama movie ya Mr.Bean tu.They wiil simply seat and look.Doing nothing at all!π€£π€£Utawasikia "tushawavua bara koti la Muungano kwenye Mpira, Bado turudishiwe kiti chetu UN"
πππ
Muda utaongea ila ni haki yao kushiriki bila kujali mwenendo wao.Hamna kitu.Hawapendi kujifunza wala kuiba na kuiga mema.
Unaposema simba ana stahili kwenda klabu bingwa na sio jku Ni wazi unaonesha sio mtu wa mpira au ni MBAGUZI.Simba ameshindwa kwenda kwa uwezo wake,na hao wamekwenda kwa uwezo wao.WAPE HESHIMA YAOKuna wabaguzi kuliko nyie. Hata nipewe milioni 500 nikaishi huko mwaka mmoja nitakataa. Kama wewe ni wa kule basi huna haki ya kuzungumza neno UBAGUZI
Waendelee kubweteka tu waone muda unavyocharaza bakora.Muda utaongea ila ni haki yao kushiriki bila kujali mwenendo wao.
Iwe bojo,kesho tunakuja hapo nyakahanga primary tuone kama mtatufungaYaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe.
Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho.
SIASA HIZI!!!!
Watafikia ndoto zao ila kwa kuchelewa sana.Waendelee kubweteka tu waone muda unavyocharaza bakora.
Ndio soka katiba ya Zanzibar ya 2010Nchi Gani... Zanzibar ni nchi.
Wenyewe hawana shida.
Imefanyaje tena hiyo Katiba?Ndio soka katiba ya Zanzibar ya 2010
Pengine wao wanaona wamefanya vizuri sanaWenyewe hawana hiyana.Ilimradi wameingia tu kwenye historia kwamba walicheza ligi kubwa Afrika.Ntoshaaaa!π