A love
Member
- May 17, 2021
- 93
- 119
Ni kweli, ivi ukitaka uwe mwandishi wao unawapataje?Kuna freelancing service kama fiverr, google adsense, linkedin na publishing za contents hasa miziki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli, ivi ukitaka uwe mwandishi wao unawapataje?Kuna freelancing service kama fiverr, google adsense, linkedin na publishing za contents hasa miziki
Ni kweli ,tatizo ni namna ya kuwapata mkuu,kama unafahamu naomba bas connectionOnline pesa ipo ila Tz hatuna misingi ya kuwezesha hilo.
Mfano uandishi wa makala kwa webistes mbalimbali malipo yanaanzia dola 50 mpaka 1000 kutegemea na hadhi ya website na viwango walivyoweka vya makala utakayowawasilishia.
Webistes nyingine zinakulipa wakiikubali kazi yako. Zinakulipa kama kazi yako itakua miongoni mwa top articles za wiki na wanakulipa tena kama hiyo article itakua featured kwenye story.
Lakini ili wakubali makala yako sharti la kwanza ni lazima akaunti yako ya malipo iwe ya paypal kinyume na hapo hawapokei kazi.
Halafu Tz ndiyo bado hatuna mpango wa kuiwezesha paypal.
Nimezitaja comment ya mbele. ChekiNi kweli ,tatizo ni namna ya kuwapata mkuu,kama unafahamu naomba bas connection
Kuna hii kitu inaitwa affiliate marketing,hivi ndio inakuaje mkuu?Kwahiyo wewe online unajua ni betting na forex tu? [emoji23][emoji23]
Kijana uko nyuma sana, online hela zipo nyingi tu. Usiishi kwa kukariri!
Affiliate marketing inakuaje mkuu?Freelancing ( kutoa huduma ), Youtube ( Vlogging ), blogging, Affiliate marketing na flipping ndio kazi ambazo unaweza kufanya mtandaoni.
Ila unahitaji muda, juhudi na uvumilivu sana kupata mafanikio.
Hizo siyo gambling. Ni kazi kama kazi nyingine tena zenye ushindani mkubwa na hivyo unahitaji kujituma na kuwekeza hasa.
Mtu akikupa kazi ya kuandika ebook ya page 150 let's kwa 1,000 USD hiyo siyo kazi rahisi hata kidogo, utakaa kwenye computer mpaka tako liwe kama la dereva wa roli🤣
Safi kabisa, hata clickworker kama ukiweza jiunga, pia youtube uki post video nzuri na watu kuangalia, ila hizo hela zote zunakuja kwa visenti vya dola, kwahiyo watakiwa kuhenyeka kisawasawa upate mshiko wa maana..Kwa uzoefu wangu online business inayolipa ni zile za aina ya upwork, affiliates na hizi za contents writing, hizo kweli zinalipa ial nyingine siziamini
Affiliate marketing kwa lugha rahisi ni udalali.Affiliate marketing inakuaje mkuu?
Ndugu WATANZANIA WENZANGU BIASHARA YA KULAUMU VIONGOZI KILA SIKU HAITATUFIKISHA POPOTE, KAMA KWELI TUNATAKA MABADILIKO CHANYA , START BY BEING THE CHANGE YOU WANT.Upo sahihi.
Naamini shida ya Tz ni viongozi wetu kuwa outdated na bunge kumezwa na wabunge wanaojua mipasho kuliko kubuni mbinu za kuwezesha vijana kunufaika na mitandao.
Wazia bungeni alishawahi kuwepo Sugu na Profesa, ni wasanii, so unaassume kwavile wanaupload vitu youtube basi wanajua changamoto za Youtube kwa Tz ila hawajawahi raise concerns.
Sasa hivi yupo Tale na FA ila na wao kwa hapa tulipofikia Tale kashajionyesha yeye ni mtu wa mipasho FA haonekani kama atakuja wasilisha such a topic.
Tz tupo nyuma.
Screenshot na loss mkuu ...Baki na ubishi wako watu wanapiga hela..
Huyu anaitwa kileo cheki profiti yake ya leoView attachment 1825753
Kama fiverr ingia kwenye site yao kisha tengeneza account kwa kujaza taarifa zako.Ni kweli, ivi ukitaka uwe mwandishi wao unawapataje?
Pole sana kaka me nimekuelewa sana, kila mtu anapojaribu kupiga hatua unakutana na vikwazo cha msingi ni kutokukata tamaa! fanya unachoamini kitakutoa maishani.Kama unamtaji wa kutosha ama una mategemeo ya kupata ajira hivi karibuni chagua kazi. Ila kama huna kitu usichague cha kufanya fanya kitu chochote cha halali ambacho kinatoa pesa.
Mtu huna cha kupoteza, huna pesa why unaogopa?? Mimi hiyo hiyo forex na betting ndio nilikuwa nafanya wakati sina mtaji maana ndio sehemu za kupata au kupoteza pesa fasta fasta. Hizo sijui Apwork mpaka utafute kazi mtu akupe sio leo wala kesho.
Siwezi sema ni bahati ilianguka upande wangu nikapata mtaji hapana maana nilikuwa natumia akili na pesa niliwekeza ndio nikapata kitu. OOh mwingine atasema forex ni gambling yeah nikama gambling lakini sina kitu nifanye nini kama tuu kazi ya 150k unazunguka dar nzima hupati na unadegree ufanye nini.
Kwenye hizi kazi za kawaida napo nipagumu sana labda uwe na ujuzi mfano ufundi simu au tajiri akupe chombo uendeshe ,hata ukondakta uliouandika hapo kupata sio rahisi mpaka uwe na connection tena kali na dereva bila hivyo utaambulia manyoya
Mimi nina store ya nafaka kila kwenye kilo moja ya mchele faida ina range 200-300 ili uone faida lazima uuze kilo nyingi nyingi sana nahapo kodi ya fremu,tra tfda ,halmashauri,umeme ,zima moto ,mlinzi vyote vitoke humo . Bado kodi ya mimi niliko panga + usafiri ukipiga mahesabu unajikuta unafanyia tumbo.
Hao wanaopenda kukaa ofisini na kusubiri mishahara sio wajinga asee. Nikaona bora niongeze wigo wa biashara nilime mazao mfano maharage mimi mwenyewe niwe nakuja kuyauza, juzi tu hapa ndio nimetoka kuvuna msimu wa pili mfululizo naambulia hasara.
View attachment 1821683
Basi mkuu wewe baki na unachaamini!Screenshot na loss mkuu ...
Mbona unatuaminisha unapigaa hela ...
Hakuna kitu sijui kuhus forex..
Lazima upigwe tu whether you like or not ...
Yaani huwa ndio mlivo ,kupiga picha profit ,huku loss zipo chini ya carpet [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yawezekana ni akili yako au elimu uliyonayo hukuwahi kujifunza IT na related courses ata kidogo now dunia inaenda kasi sana kwa wenzetu digital jobs ni ishu sana yaan ni hot cakes kabisa..Yaani hizo sio mishe za kusema mtu anaweza kujiajiri huko ,...
Online businesss iko overrated yaan ukifuatilia kiundani ,hakuna lolote ....
Tuendelee kulima tu
Naona unatafuta referral uwatumie link[emoji23][emoji23]Hiyo imeingia leo saa 5 jion
Nlipga kazi asubuh..
Pesa ipo kaka pambana kutafuta michongoView attachment 1827095
Survey gan hii mkuu inalipa $100+ em funguka kdgEndelea kusema online hakuna pesa iyo ni pesa nliipiga juzi kwa survey moja tu ya kama nusu saa..
Acha uvivu kaka, pambana kutafuta michongo..
Online kazi zipo bossView attachment 1827092
Hii survey naipiga kimagendo Mr, ni legal kwa watu wa USA na UK so nikiiweka hapa tukajazana huko tutashtukiwa [emoji847]Survey gan hii mkuu inalipa $100+ em funguka kdg