Halafu masฤทini wala hakupata ndoto yake!Tumwulize Mwigulu. Nasikia aliandika kwenye mawe mikoa na wilaya zote Tanzania. Aliwezaje? Tukipata jibu turudi kwa Musa
Ukishakuwa na vitabu viwili vinavyo pingana maelezo vyenyewe kwa vyenyewe,Kiranga Infropreneur Rabbon
min -me nisaidie kuniitia wengine kazini kwetu kuna kaziโฆ ๐๐๐
Sasa kulikua na haja gani ya kuwa na bible "hard copy" kwanini hayo maelekezo yote Mungu asingeyaandika tu mioyoni mwetu kuondoa hizi tafrani zinazojitokeza sasa?Mungu hulitunza neno lake ndani ya MIOYO ya watu wake
Ilipita miaka Fulani duniani, kuwa na kitabu kiitwacho BIBLIA ilikuwa kosa linalostahili kuuwawa.Sasa kulikua na haja gani ya kuwa na bible "hard copy" kwanini hayo maelekezo yote Mungu asingeyaandika tu mioyoni mwetu kuondoa hizi tafrani zinazojitokeza sasa?
sawima Grace glory ๐ ๐ ๐
Kuna namna tumepigwa sana๐๐Mungu ni noma wengine aliwapa habari hizi kwa ndoto na maona wakaenda kuandija kwenye mawe na wengine akawashushia moja kwa moja kutoka sijui wapi๐
Hapana.Mimi kama Mkristo, moja ya simulizi ni kuwa maandiko katika kitabi cha Bibilia yalianza kwa kuandikwa kwenye ngozi, mawe na mfano ni amrii kumi za Mungu kupitia Nabii Mussa.
Tunaambiwa Mungu alishusha hizo amrita kwa Mussa na baadae zikaandikwa kwenye mawe na ndio hizi tunazisoma katika Bibilia leo hii.
Binafsi nikiangqlia ukubwa wa Bibilia, najiuliza kweli maandishi yote yale yaliweza kuandikwa katika mawe?
Hata tukisema kulikuwa na njia nyingine ya kuandika, maandishi yote ya kwenye Bibilia wailiwezaje kuyaandika?
Je, haiwezekani tunayoyasoma kwenye Bibilia ni story tu za kutungwa na wanadamu ili walau binadamu wawe na hofu ya kufanya maovu kama kuua, kuiba, kuzini, kudhulumu, n..k?
Ya Qruan siyajua ila sidhani kama yana tofauti na ya kwenye Bibilia kwa maana yalivyoandikwa.
Inafikirisha sana!!