Hivi kweli Mungu yupo?

Hivi kweli Mungu yupo?

Ukianza kuwa na fikra hizi..ni za kuelekea shimoni
 
Kama hujui kwamba mungu yupo basi uwezo wako wa kufikili ni mdogo Sana, tena Sana.

Haiwezekani simu, magari, ndege, computer nk viwepo tu kwa babati mbaya. Kuna akili ilitumika kuviunda.

Ni hivyo, hivyo Binadamu, mfumo wa mvua, bahari, mifumo ya anga, wanyama, tabia za madini viwepo tu bila akili. Yupo aliyevitengeza
 
Mungu wapo wengi we chagua mmoja tu umuabudu ila Miungu wanatofautiana kwenye kuendesha umungu wao.........wapo wanaopenda mambo mazuri wapo wanaopenda mabaya hakuna Mungu mmoja japo kuna mmoja anatamani kuwa mtawala wa viumbe vyote kwa kampeni ya kuwaaidi Pepo

Kama unaona Marekani na
Urusi wanavyotamani kuitawala Dunia kwa kuwashawishi inch zingine ziwe upande wao the same na Miungu
Allah
Jehovah
Budha
 
Mungu yupo...hafananishwi na chochote ... hana mwanzo wala mwisho...yupo mbinguni na duniani[utendaji kazi wake upo kiroho zaidi ila matokeo tunayaona katika ulimwengu wa nyama]...taifa teule ilikuwa zamani...kwa sasa wote tumepewa uwezo wa kufanyika watoto [wateule]wake.. kuhusu kuoa oa hata zaidi ya mmoja ishu ni kukidhi mahitaji ya uliowaoa... wakristo wengi tumekaririshwa mke mmoja siyo kweli [soma biblia uielewe]... kuhusu kuteswa na shetani ni kama hatutii maagizo yake... hapa duniani ndiyo kipimo chetu...je tunamtii Mungu au tunamtii shetani....amua leo, njia ni mbili tu...
 
Kama hujui kwamba mungu yupo basi uwezo wako wa kufikili ni mdogo Sana, tena Sana.

Haiwezekani simu, magari, ndege, computer nk viwepo tu kwa babati mbaya. Kuna akili ilitumika kuviunda.

Ni hivyo, hivyo Binadamu, mfumo wa mvua, bahari, mifumo ya anga, wanyama, tabia za madini viwepo tu bila akili. Yupo aliyevitengeza
Hii hoja huwa mnairudia sana na ilishajibiwa zaidi ya miaka kumi humu.

Ikiwa hivyo (kwa hoja yako) hata Mungu naye hawezi tokea tu ki bahati mbaya.
 
Kama hujui kwamba mungu yupo basi uwezo wako wa kufikili ni mdogo Sana, tena Sana.

Haiwezekani simu, magari, ndege, computer nk viwepo tu kwa babati mbaya. Kuna akili ilitumika kuviunda.

Ni hivyo, hivyo Binadamu, mfumo wa mvua, bahari, mifumo ya anga, wanyama, tabia za madini viwepo tu bila akili. Yupo aliyevitengeza
Haiwezekani pia Mungu akawepo kwa bahati mbaya itakua pia kuna kiumbe kamuumba nakuendelea.
 
Una hoja ila uandishi wako ni wa kitoto sana, punguza emojis hasa za kuchekacheka.
 
Back
Top Bottom