Hivi kweli mwanamuziki TID ni teja?

Hivi kweli mwanamuziki TID ni teja?

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,035
Reaction score
328
Jamani wa fj hivi ni kweli huyu mwanamuziki TID anakula unga . aka teja. anayefahamu. ana elimu gani. Na ana elimu gani?
 
umekosea jukwaa,n'way kwani uteja unamahusiano na elimu?
 
Sio teja bali ni hali ngumu ya kiuchumi ndo inamsumbua
 
Watu wa karibu hko sinza wanadai anavuta sana bangi i dont'know kuhusu unga!
 
Anakula sana unga wa mahindi, ila unga wa ngano sijawahi kusikia kama anakula.
 
TID na NGWEAIR pia DAZ BABA wa kundi la DAZ NUNDA Yumo pia RAY C hata MAUNDA ZORO,DUDUBAYA,MR NICE
KWENYE BHANGI NDIO KARIBIA WOTE WAKIONGZWA NA 20% KWENYE MIRUNGI WAPO KIBAO WAKIONGOZWA NA SUMA LEE
 
umesomeka Milad Ayo..
 
tid na ngweair pia daz baba wa kundi la daz nunda yumo pia ray c hata maunda zoro,dudubaya,mr nice
kwenye bhangi ndio karibia wote wakiongzwa na 20% kwenye mirungi wapo kibao wakiongozwa na suma lee

kwenye piwa ......
 
TID na NGWEAIR pia DAZ BABA wa kundi la DAZ NUNDA Yumo pia RAY C hata MAUNDA ZORO,DUDUBAYA,MR NICE
KWENYE BHANGI NDIO KARIBIA WOTE WAKIONGZWA NA 20% KWENYE MIRUNGI WAPO KIBAO WAKIONGOZWA NA SUMA LEE

mh huyu twenty pase kafia wapi au bange ime mbangua zile tuzo 5 zimepotea bure! ah
 
Jamani wa fj hivi ni kweli huyu mwanamuziki TID anakula unga . aka teja. anayefahamu. ana elimu gani. Na ana elimu gani?

attachment.php

Mjini wanyama kibao cha ajabu wanakula unga
 
Back
Top Bottom