Hivi kweli pombe ni haramu kama usemavyo uislam mbona kuna ahadi ya mito ya pombe peponi?

Hivi kweli pombe ni haramu kama usemavyo uislam mbona kuna ahadi ya mito ya pombe peponi?

What you need to know is that...... Religion is an opium.
 
kwa hiyo pepeni ni full matingasssss. imani za kufikirika hizi hakuna ukweli wowote
 
Alishasema nyie ni mavumbi, na mavumbini mtarudi, hiyo ina maana kwamba roho yako ni mali yake, anajua pa kuiweka, huwezi mpangia kwa matendo yako yaliyojaa kasoro tokea uamkapo mpaka ulalapo.
Miaka nenda watu wanazaliwa, wanakufa, wa Imani mbali mbali, na wasioamini, wote wanaishia mavumbini, wengine wameshakuwa mamchanga, wameshajenga nyumba za watu! Roho zao hazijawahi pingana, gombana etc, ila watu Sasa, roho mbaya kama sura zao.
 
Back
Top Bottom