Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Tatizo hawatoi mrejesho wa report.Sijaripoti mkuu. Kuna ile namba ya kuripoti utapeli 15040 nimeripoti namba kadhaa lakini haziishii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hawatoi mrejesho wa report.Sijaripoti mkuu. Kuna ile namba ya kuripoti utapeli 15040 nimeripoti namba kadhaa lakini haziishii.
Asante sana mkuu.Wale matusi wana speed hatar kama wanasoma sehem pole sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lile tusi la kile kiungo chenye utamuu lauma Sanaa, waeza piga ata ukuta ngumii endapo mtusi ayuko hapo ulipoo
Tate unafeli mzee, hao jamaa wanawapigia hadi wafanyakazi wa mtandao wa simu kutaka kuwatapeli. Wanachofanya wakijua umeingia kwenye laini na wao wanaanza kutoa fasta kwahiyo huwezi kureverse kwakuwa hela ishatolewaMimi nikishamgundua tu, nakata simu na kui block namba yake mara moja kabla ta kufikia hatua ya kuporomosha matusi.
Hawa matapeli nahisi watakuwa wanashirikiana na baadhi ya wafanyakazi wa makumpuni ya simu wasio waaminifu. Haiwezekani wakikutapeli tu, hiyo hela huwezi kurejeshewa tena!
Mimi jana kuna mmoja kanipigia eti amekosea muamala wa mpesa nilichofanya nilimwambia kaka jambazi kula chuma hicho nikaweka simu kwenye speaker ya home theater nikamfungulia na sauti mpk mwishohao jamaa wakinipigia najifanyaga mshamba kuwapa ushirikiano hadi wenyewe wanacha kupiga simu.
kuna mmoja hadi alinambia kwa staili hii hata shemeji yetu anakazi kupata kodi ya mezani.nilicheka sana akadai acha niendele kuwapiga jamaa wengine akakata simu
mimi alinipigia jamaa wa huduma kwa wateja anakigugumizi 😀😀😀 aisee nilicheka saaana, mpaka jamaa akajishtukia na kukata simu.Nikamwambia "NDUGU, HELA HAITAFUTWI NAMNA HIYO" Jamani baada ya hapo nimetukanwa matusi yote kwa muda mfupi na mhanga mkubwa ni mamangu mzazi ninayempenda sana (inauma sana).
mimi alinipigia jamaa wa huduma kwa wateja anakigugumizi
Li husika lipo huku linatetea tunavoibiwaWakuu,
Ni hivi, leo nikiwa nyumbani akaja dada mmoja jirani yetu akiwa anaongea na mtu kwa simu yake.
Baada ya kukata simu akaniambia kwamba amekuwa anaongea na matapeli na wamemwuliza kiwango cha pesa kwenye akauti yake na kwamba kuna mteja ametuma pesa kimakosa kwenye akaunti ya yule dada na anatakiwa azirudishe (maana tapeli amejifanya ni mhudumu wa mtandao husika).
Baada ya muda kidogo, sms iliingia kwenye simu ya yule dada kuthibitisha kuwa pesa zimeingia na kiwango ni kile alichotaja ila anaporudisha abakize elfu kumi ya asante.
Jamaa akapiga simu kumshawishi dada arudishe pesa. Baada ya majibizano ya muda mfupi kati ya tapeli na yule dada nikachukua simu ya yule dada ili kuongea na tapeli.
Nikamwambia "NDUGU, HELA HAITAFUTWI NAMNA HIYO" Jamani baada ya hapo nimetukanwa matusi yote kwa muda mfupi na mhanga mkubwa ni mamangu mzazi ninayempenda sana (inauma sana).
Je, serikali inajua kwamba raia wake tunatukanwa matusi mazito ya mwilini achilia mbali ya nguoni?
Na Je, serikali imeshindwa kuwatia nguvuni wapuuzi hawa?
Wengi hawa matepeli wanatumia number za TTCL mashirika yetu ya serikali ndio ugonjwa huu uko huko hili shirika hata sijui faida yake ni nini yaani ufanisi zero wapo wapo tu.Wakuu,
Ni hivi, leo nikiwa nyumbani akaja dada mmoja jirani yetu akiwa anaongea na mtu kwa simu yake.
Baada ya kukata simu akaniambia kwamba amekuwa anaongea na matapeli na wamemwuliza kiwango cha pesa kwenye akauti yake na kwamba kuna mteja ametuma pesa kimakosa kwenye akaunti ya yule dada na anatakiwa azirudishe (maana tapeli amejifanya ni mhudumu wa mtandao husika).
Baada ya muda kidogo, sms iliingia kwenye simu ya yule dada kuthibitisha kuwa pesa zimeingia na kiwango ni kile alichotaja ila anaporudisha abakize elfu kumi ya asante.
Jamaa akapiga simu kumshawishi dada arudishe pesa. Baada ya majibizano ya muda mfupi kati ya tapeli na yule dada nikachukua simu ya yule dada ili kuongea na tapeli.
Nikamwambia "NDUGU, HELA HAITAFUTWI NAMNA HIYO" Jamani baada ya hapo nimetukanwa matusi yote kwa muda mfupi na mhanga mkubwa ni mamangu mzazi ninayempenda sana (inauma sana).
Je, serikali inajua kwamba raia wake tunatukanwa matusi mazito ya mwilini achilia mbali ya nguoni?
Na Je, serikali imeshindwa kuwatia nguvuni wapuuzi hawa?
Yapo humu humu. Lakini nawahurumia, kwa maana huwezi kudhulumu watu na ubaki salama.Li husika lipo huku linatetea tunavoibiwa
Ni kweli.Wengi hawa matepeli wanatumia number za TTCL mashirika yetu ya serikali ndio ugonjwa huu uko huko hili shirika hata sijui faida yake ni nini yaani ufanisi zero wapo wapo tu.