Hivi kweli serikali imeshindwa kuwatia nguvuni matapeli wa mtandaoni?

Kuna dada mmoja alitumiwa text hewa ya mpesa 500000 kisha wakampgia simu wakamwambia tumetuma hela kimakosa inabidi uturudishie.kama uko karibu na wakala tunaomba uturudishie laki nne hyo nyngine ni ya kwako.yule dada kwa furaha akaenda kwa wakala kuwarushia.wakati wanawasiliana walimwambia usikate cm na ukifika kwa wakala mwambie atume hyo pesa akishatuma ndio umpe hyo cmu ili atoe hela yake yule dada kwa furaha akafanya kama alivyoambiwa na wale matapeli. Baada ya pesa kutumwa ndipo akampa wakala cm ili atoe hela yake.wakala kila akitoa ile pesa anaambiwa salio halitoshi kutoa hzo pesa ili bidi wakala angalie salio akakuta ni ziro.yule dada alichanganyikiwa baada ya kujua ametapeliwa.kupiga cm kwa matapeli anambiwa cm haipatikani ili bidi anze kulia lakn haikusaidia kwani wakala anachotaka pesa yake.wakala akataka kumpeleka polisi yule dada akamwambia wakala naomba unipeleke kwa wazaz wangu ili wajue kama naenda polisi.moja kwa moja mpaka kwa wazazi. Bahati nzuri wazazi walikuwa na miradi mifugo hiko ndicho kilichomwokoa ilibidi wazazi wauze nguruwe wawili ili kulipa lile deni.hyo ilitokea moshi na huyo dada anaitwa vailet urasa wa marangu moshi.
 
Hii niseme tu ni syndicate na inawakubwa ndani yake no doubt,haiwezekani polisi wetu,wanaojinasibu na intelligensia wameshindwa kumaliza tatizo dogo hivi,na kinachofanya niamini ni kazi ya wakubwa flani,wameelekezana kabisa namna ya kutukana ,usipoonyesha ushirikino,na namba nyingi ni za kampuni ya simu ya taifa
 
Lile tusi la kile kiungo chenye utamuu lauma Sanaa, waeza piga ata ukuta ngumii endapo mtusi ayuko hapo ulipoo
 
Hilo jambo huwa linaniumiza kichwa Sana na Sasa ivi wanakupigia kabisa Sasa sijui wanakwama wap

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tate unafeli mzee, hao jamaa wanawapigia hadi wafanyakazi wa mtandao wa simu kutaka kuwatapeli. Wanachofanya wakijua umeingia kwenye laini na wao wanaanza kutoa fasta kwahiyo huwezi kureverse kwakuwa hela ishatolewa
 
Kuna dada mmoja alitumiwa text hewa ya mpesa 500000 kisha wakampgia simu wakamwambia tumetuma hela kimakosa inabidi uturudishie.kama uko karibu na wakala tunaomba uturudishie laki nne hyo nyngine ni ya kwako.yule dada kwa furaha akaenda kwa wakala kuwarushia.wakati wanawasiliana walimwambia usikate cm na ukifika kwa wakala mwambie atume hyo pesa akishatuma ndio umpe hyo cmu ili atoe hela yake yule dada kwa furaha akafanya kama alivyoambiwa na wale matapeli. Baada ya pesa kutumwa ndipo akampa wakala cm ili atoe hela yake.wakala kila akitoa ile pesa anaambiwa salio halitoshi kutoa hzo pesa ili bidi wakala angalie salio akakuta ni ziro.yule dada alichanganyikiwa baada ya kujua ametapeliwa.kupiga cm kwa matapeli anambiwa cm haipatikani ili bidi anze kulia lakn haikusaidia kwani wakala anachotaka pesa yake.wakala akataka kumpeleka polisi yule dada akamwambia wakala naomba unipeleke kwa wazaz wangu ili wajue kama naenda polisi.moja kwa moja mpaka kwa wazazi. Bahati nzuri wazazi walikuwa na miradi mifugo hiko ndicho kilichomwokoa ilibidi wazazi wauze nguruwe wawili ili kulipa lile deni.hyo ilitokea moshi na huyo dada anaitwa vailet urasa wa marangu moshi
 
Mimi jana kuna mmoja kanipigia eti amekosea muamala wa mpesa nilichofanya nilimwambia kaka jambazi kula chuma hicho nikaweka simu kwenye speaker ya home theater nikamfungulia na sauti mpk mwisho
 
Mimi sipokei simu kutoka namba nisiyo ijua au Mpawa au MTU yoyote anaye nidai. Kuna mmoja kaja Whatsapp na kunitext.
Eti... Bro mbona huonekani.
Nilimblock fastaa
 
USIPOKEE SIMU KUTOKA NAMBA USIYO IJUA.
HUTATAPELIWA.
WALE WA NDAGU WA BLOCK TU LKN UKITUMA NAMBA ZAO KWA ILE NAMBA YA POLISI HAWAFANYWI KITU, KESHO TENA WANAPIGA.

DAWA USIPOKEE SIMU USIYOIJUA.
BLOCK NAMBA ZA WAGANGA WA NDAGU.
HESHIMU WATU.
 
Hela kama imepona basi hata wakutukane vipi huwezi kuumia, ila ubaya sasa uwe huna hata kumi alafu uoge na matusi😁😁😁 it's like "yaani nikipata nafasi ya kumkamata huyu jamaa hiiiiiiiih (in JPM voice)"
 
Nikamwambia "NDUGU, HELA HAITAFUTWI NAMNA HIYO" Jamani baada ya hapo nimetukanwa matusi yote kwa muda mfupi na mhanga mkubwa ni mamangu mzazi ninayempenda sana (inauma sana).
mimi alinipigia jamaa wa huduma kwa wateja anakigugumizi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ aisee nilicheka saaana, mpaka jamaa akajishtukia na kukata simu.
 
Li husika lipo huku linatetea tunavoibiwa
 
Wengi hawa matepeli wanatumia number za TTCL mashirika yetu ya serikali ndio ugonjwa huu uko huko hili shirika hata sijui faida yake ni nini yaani ufanisi zero wapo wapo tu.
 
Wengi hawa matepeli wanatumia number za TTCL mashirika yetu ya serikali ndio ugonjwa huu uko huko hili shirika hata sijui faida yake ni nini yaani ufanisi zero wapo wapo tu.
Ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…