Hivi kweli serikali inashindwa kutenga billion 20 kuweka carpet viwanja vyote mikoa yote

Hili ni wazo muhimu sana, ni muhimu wahusika watuwekee kapeti mf Sheikh Amri Abeid mpira ukidunda unahama hii aibu sana, tozo za viwanja wamekusanya miaka ya Kobe hazina faida kwa mashabiki , wabongo tunapenda mpira, ni ajira kubwa kwa vijana kwasasa , Mpira unatupunguzia stress za umaskini , wakiweka kapeti viwanja vyote , zitaboresha zaidi burudani na kukuza viwango vya wachezaji wetu.
 
Wewe unacheza nje ya uwanja au sio? Hapo nje ya uwanja ipo siku utaanza kupiga kelele papigwe kapet pia
 
Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.

Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Nyasi bandia wakati hali ya hewa ya nchi yetu inaruhusu nyasi halisi? BTW unadhani nyasi bandia hazihitaji matunzo? Kwanza FIFA inashauri mpira uchezwe kwenye nyasi halisi. Nchi za Scandinavia ambako barafu na theluji hutawala karibu nusu mwaka mbona wanaweza kuwa na viwanja vya nyasi halisi? Tanzania ni uzembe na uvivu tu hakuna zaidi. Tna ardhi kubwa sana na tungeweza kuwa na idara yenye wataalam wa kushughulika na sayansi ya kuotesha na kutunza nyasi. Maji nayo tunayo kibao. Tumeshindwa kuotesha na kutunza nyasi halisi tutaweza za bandia? Tunarudi kule kule: mtu mweusi hawezi kujitawala.
 
Hili ni wazo muhimu sana, ni muhimu wahusika watuwekee kapeti mf Sheikh Amri Abeid mpira ukidunda unahama hii aibu sana, tozo za viwanja wamekusanya miaka ya Kobe hazina faida kwa mashabiki , wabongo tunapenda mpira, ni ajira kubwa kwa vijana kwasasa , Mpira unatupunguzia stress za umaskini , wakiweka kapeti viwanja vyote , zitaboresha zaidi burudani na kukuza viwango vya wachezaji wetu.
Kuotesha nyasi na kutunza ni rahisi zaidi kuliko bandia. Kwanza nyasi za bandia hazifikii kiwango cha ubora wa nyasi halisi. Kinachotakiwa ni kuwa na mashamba makubwa ya kuotesha nyasi pembeni mwa miji na vifaa vya kuzibandua na kwenda kuotesha viwanjani bila kusahau mfumo wa umwagiliaji na mipango ya matumizi. Huwezi kuwa na uwanja ambao humwagilii maji halafu utegemee nyasi zitajitunza zenyewe.
 
Aisee juzi niliona mchezaji wa zamani wa Yanga Yacouba Sogne sijajua anacheza timu gani saivi amepost sijui alifunga bao mana sikumaliza kuangalia kwa aibu uwanja uko kama viwanja vya kenya
 
Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.

Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Thubutu! Uwanja wa Taifa wenyewe matengenezo ya kuungaunga, ukarabati daily hauishi🤣
 
Back
Top Bottom