ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nyasi zenyewe wanaweka miyeyusho fake..Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Mwendo wa viparanyasi natural ndio heshima
Waganga?
Wewe unacheza nje ya uwanja au sio? Hapo nje ya uwanja ipo siku utaanza kupiga kelele papigwe kapet piaHili ni wazo muhimu sana, ni muhimu wahusika watuwekee kapeti mf Sheikh Amri Abeid mpira ukidunda unahama hii aibu sana, tozo za viwanja wamekusanya miaka ya Kobe hazina faida kwa mashabiki , wabongo tunapenda mpira, ni ajira kubwa kwa vijana kwasasa , Mpira unatupunguzia stress za umaskini , wakiweka kapeti viwanja vyote , zitaboresha zaidi burudani na kukuza viwango vya wachezaji wetu.
Nyasi bandia wakati hali ya hewa ya nchi yetu inaruhusu nyasi halisi? BTW unadhani nyasi bandia hazihitaji matunzo? Kwanza FIFA inashauri mpira uchezwe kwenye nyasi halisi. Nchi za Scandinavia ambako barafu na theluji hutawala karibu nusu mwaka mbona wanaweza kuwa na viwanja vya nyasi halisi? Tanzania ni uzembe na uvivu tu hakuna zaidi. Tna ardhi kubwa sana na tungeweza kuwa na idara yenye wataalam wa kushughulika na sayansi ya kuotesha na kutunza nyasi. Maji nayo tunayo kibao. Tumeshindwa kuotesha na kutunza nyasi halisi tutaweza za bandia? Tunarudi kule kule: mtu mweusi hawezi kujitawala.Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.
Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia
Kuotesha nyasi na kutunza ni rahisi zaidi kuliko bandia. Kwanza nyasi za bandia hazifikii kiwango cha ubora wa nyasi halisi. Kinachotakiwa ni kuwa na mashamba makubwa ya kuotesha nyasi pembeni mwa miji na vifaa vya kuzibandua na kwenda kuotesha viwanjani bila kusahau mfumo wa umwagiliaji na mipango ya matumizi. Huwezi kuwa na uwanja ambao humwagilii maji halafu utegemee nyasi zitajitunza zenyewe.Hili ni wazo muhimu sana, ni muhimu wahusika watuwekee kapeti mf Sheikh Amri Abeid mpira ukidunda unahama hii aibu sana, tozo za viwanja wamekusanya miaka ya Kobe hazina faida kwa mashabiki , wabongo tunapenda mpira, ni ajira kubwa kwa vijana kwasasa , Mpira unatupunguzia stress za umaskini , wakiweka kapeti viwanja vyote , zitaboresha zaidi burudani na kukuza viwango vya wachezaji wetu.
Thubutu! Uwanja wa Taifa wenyewe matengenezo ya kuungaunga, ukarabati daily hauishiš¤£Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.
Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia