Hivi kweli serikali inashwindwa kulipa billion 80

Hivi kweli serikali inashwindwa kulipa billion 80

chengbi

Senior Member
Joined
May 5, 2017
Posts
107
Reaction score
196
polen na kazi wana jf,niende kwenye maada hivi ni kweli serikali yetu imeshindwa kulipa billion 80 ili tuchukue bombardier yetu,najaribu kutafakari vyanzo vyote vya uchumi
Tuanze na VAT
Vocha ya shl 500 inakatwa karibia shl 57 watz tunaotumia simu tuseme tupo mil 20 tukiweka vocha kwa Siku moja
57×20000000=1140000000(bil 1na mil 140) hii ni kwa siku
114000000×30=(34bil na mil 200) hii ni kwa siku 30
Ukizidisha kwa mwaka mmoja unapata bil 410 na mil 400 hii ni kwa vocha tu,bado makato ya maswala ya miamala ya m pesa
kwenye kodi ya mafuta ya petrol serikali inachukua 350 per Lita chukulia kwa siku tunatumia Lita mil 1 za petrol
350×1000000=350000000 kwa mwaka itakuwa bil 126
hivi ni vyanzo viwili vidogo ambavyo kila kimoja kinauwezo wa kulipa hako kasenti chao sasa nauliza serikali inapenda kutuzalilisha watz,umaskini au ni kiburi cha serikali

mchokozi
 
Back
Top Bottom