Hivi kweli Simba imfunge Al Ahly, Berkane halafu ije kusumbuliwa na Yanga kizembe zembe, kweli kuna watu wanahujumu timu yetu

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Huwa najiuliza sana, inakuwaje kwa Mkapa hatoki mtu lakni tunapocheza na Yanga tunakuwa wazembe kiasi kwamba hata sare yenyewe inakuwa kwa mbinde, najiuliza Haji Manara anajuaje mipango yetu ndani ya Simba tunapocheza na Yanga?

Nani anamwambia, kibaya zaidi Simba ni wepesi sana kuhujumu timu yao kuliko Yanga, Yanga wana umoja na wana kiu ya mafanikio, wako tayari GSM achukue timu yote lkn wanataka furaha, sio sisi kila wakati Mo Dewji anaumizwa kichwa na watu wanaopenda kuumiza mioyo yetu.

Kuna haja ya kufanya kafara kubwa sana wale wote wanaohujumu timu yetu litakalowakuta watajuana na mungu wao, haiwezekani wakija wageni wanakufa halafu Yanga atusumbue, kwann Yanga wanajiamini wanapocheza na sisi, viongozi nimeongea kwa uchungu sana mimi, haya mambo hatukuyaona kwa Jimmy David Ngonya, marehemu Priva Mtema, Marco Masanja na Marehemu Juma Salum au marehemu Ally Bamchawi.
 
Kwanza mmeacha kuloga mkiacha kuloga ndio mtatufunag
 
Tatizo ni GSM! Haiwezekani agawe bahasha za kaki mpaka kwa Barbara na Moo, ili tu timu ifanye vibaya.
 
Kwenye ligi Yanga mmetoka nae sare ya bila kufungana, katafute timu iliyowafunga ndo ufananishe na hizo ulizotaja.
 
Sasa wewe kwanza nikucheke tu hivi kweli mambo mnayowafanyiaga hao wageni ndo mnakuwa mnataka mjichanganye pia kutufanyia sisi wakati tunawajua nje ndani? Mbele ya yanga amuwezi kupata ushindi wala kufurukuta kwasababu mbinu zenu zote ziko viganjani mwetu, kwaiyo mtasubili sana
 
Usijisumbue kuhusu ilo, Simba ameanza kufungwa na Yanga tangu inatwa queen, Sunderland's mbaka leo sasa usitafute mchawi. Simba amezaliwa kutoka Yanga Kamwe sikio alizidi kichwa. Nature yenyewe inakataa Simba kumzidi Yanga kwakua yeye Simba ni ubavu wa Yanga.
 
hapa ndipo nilipoacha kusoma posti yako........pimary ulisomea wapi?
 
hapa ndipo nilipoacha kusoma posti yako........pimary ulisomea wapi?
Aya mambo we uyaelewi ila kwa wahenga tu, maana wewe utatafuta logic ya ninacho andika na hutaelewa, kunamambo umu yana andikwa wewe kama uelewi yaache wapo wanao elewa.
 
Hivi hela za kuloga mlizopigwa faini na CAF mmelipa? Au ndiyo michango insyoendelea?
 
Hata mtibwa mlishindwa kuwafunga,mbeya city waliwagonga nyie timu hamna
 
Yanga wanamganga wao pale morogoro toka kipindi cha zahera simba walikuwa wanapata tabu sana kuwafunga yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…