Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Huwa najiuliza sana, inakuwaje kwa Mkapa hatoki mtu lakni tunapocheza na Yanga tunakuwa wazembe kiasi kwamba hata sare yenyewe inakuwa kwa mbinde, najiuliza Haji Manara anajuaje mipango yetu ndani ya Simba tunapocheza na Yanga?
Nani anamwambia, kibaya zaidi Simba ni wepesi sana kuhujumu timu yao kuliko Yanga, Yanga wana umoja na wana kiu ya mafanikio, wako tayari GSM achukue timu yote lkn wanataka furaha, sio sisi kila wakati Mo Dewji anaumizwa kichwa na watu wanaopenda kuumiza mioyo yetu.
Kuna haja ya kufanya kafara kubwa sana wale wote wanaohujumu timu yetu litakalowakuta watajuana na mungu wao, haiwezekani wakija wageni wanakufa halafu Yanga atusumbue, kwann Yanga wanajiamini wanapocheza na sisi, viongozi nimeongea kwa uchungu sana mimi, haya mambo hatukuyaona kwa Jimmy David Ngonya, marehemu Priva Mtema, Marco Masanja na Marehemu Juma Salum au marehemu Ally Bamchawi.