The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tu nichangie, kipindi hicho sikuepo lakin, ila nahisi ulikuepo sijui nimeeleweka?
Is vice versa possible?
Mkuu you are a great thinker. Best comment. Agizia chochote hapo kwa mangi ntalipia.Ubaguzi wa rangi ulikuwepo ndiyo! Lakini hiyo haifanyi watu wote kuwa wabaguzi. Hata jamii mbalimbali za Tanzania, Afrika na ulimwengu wote bado kuna ubaguzi na bado upo ushirikiano. Tofauti ni kiwango cha ubaguzi na namna ya kuutekeleza huo ubaguzi, hata Tanzania ya sasa lipo vuguvugu la ubaguzi.