Ubaguzi wa rangi ulikuwepo ndiyo! Lakini hiyo haifanyi watu wote kuwa wabaguzi. Hata jamii mbalimbali za Tanzania, Afrika na ulimwengu wote bado kuna ubaguzi na bado upo ushirikiano. Tofauti ni kiwango cha ubaguzi na namna ya kuutekeleza huo ubaguzi, hata Tanzania ya sasa lipo vuguvugu la ubaguzi.