Hivi kweli tumeshindwa kifunga security cameras badala yake tumejaza mituta barabarani!?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Kama hujatembea mataifa ya wenzetu unaweza usielewe hii kero niisemayo hapa.

Ukweli ni kwamba barabara zetu zinawekewa matuta ya kikatili na ya hovyo sana, licha ya haya matuta kuchangia uharibifu wa gari lkn pia husababisha kero sana kwa watumiaji wa barabara.

Hivi kwa technology hii ilipofikia inashindikanaje kifunga security cameras kwenye baraba zetu ili zidhibiti nidhamu ya madereva wetu badala ya kuhangaika na mituta?

 
Kabla ya hilo tungeweza dhibiti njaa za askari wa barabarani na kupanua barabara zetu tungekua na mwanzo mzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…