pachawako
Senior Member
- Mar 30, 2024
- 120
- 315
Kuna hili tukio lilitokea capetown, south Africa, dereva wa campuni SASKO alipovamiwa na kuuliwa na kundi la majambazi akiwa nawenzake wawili kwenye gari.
Nikirefer ilo tukio ni miongoni mwa matukio mengi yanayo tukumbuka kila kukicha richa ya kua vyombo vya usalama na haki kama TANPOL na MAHAKAMA!! Kama sheria zipo na watu wanaenda jera kwanini matukio yanazidi kutokea! basi izi sheria tunazotumia kwenye nchi zetu sio sahihi.
Mimi ningeshauri, kila mharifu anayepatikana na hatia kwenye makosa ya jinai apewe adhabu kama wale wafungwa wa geleza la Black Dolphin Urusi, yani wasiuwawe kabisa, ila wapewe adhabu kali zinazo kinzana na haki za binadamu na liwe linafanyika onyesho la kuonyesha hao wafugwa hali zao kila mwaka, wanafunzi wa secondary na vyuoni wapewe kipaumbele kwenda kuona watu wanavyo teswa na kuteseka kwenye iyo jail mwisho wananchi kwa ujumla.
Mfano,
wasiruhusiwe kulala kitandani daima.
Wasione jua wala mvua daima.
Wasipewe maji ya kuywa kwa mdomo, ila wawekewe kwenye drip yaingie indirect kidogo kidogo ili wasife.
Muda wa kuamka wawe wanamshwa na shoti za umeme.
Kulala wawe wanalala wamesimama.
Kila mwisho wa mwaka watu waruhusiwe kuwatembelea sehemu ila wawe katika hali ya mateso ili iwe fundisho vizazi kwa vizazi.