Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Zaidi ya 60MHii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyo cantina na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
Zaidi ya 60M
Hiyo idadi inatoka wapi?Zaidi ya 60M
Ila wapiga kura wachache,Inawezekanaš¤š¤š¤
2012 tulikuwa 55MSensor ilifanyika 2002 ,2012 na ya sasa ni 2022 ,kila baada ya miaka 10 inafanyika ,kama ulisoma hesabu ukijua tu sensor ya 2002 na 2012 ni wazi kwasasa unajua tunacheza around ngapi...hiyo 60m ni estimation ,2022 ndio tutapata exactly number.
Leo jioni tumefika 62M tayari
Makadirio ya kihesabuHii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyo cantina na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
Makadirio based on what?Makadirio ya kihesabu
Hii idadi ya milioni 60 imetoka wapi?
Kuna sensa iliyo cantina na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?
Projections kutoka hesabu za mwisho. Ni estimate tu. Hivyo hivyo wanakisia ifikapo 2035 Dar itakuwa na watu milioni 13.4 na 2100 watakuwepo watu milioni 70.Hiyo idadi inatoka wapi?
Hiyo 70+ na/au 80, zenyewe siyo āassumptionā?Hiyo 60milion ni assumption. Sababu the last counting tulikuwa 50+ ni ni kama 10 years ago. Kwasasa tunaweza kuwa 70+ or even close to 80milion
Sensa ilifanyika 2002 ,2012 na ya sasa ni 2022 ,kila baada ya miaka 10 inafanyika ,kama ulisoma hesabu ukijua tu sensa ya 2002 na 2012 ni wazi kwasasa unajua tunacheza around ngapi...hiyo 60m ni estimation ,2022 ndio tutapata exactly number.
Sasa bwashee, wewe uko huko maboksini, habari ya sensa za bongo kwa nini zisikupite?Kuna sensa iliyofanyika na kuonyesha tupo kiasi hicho na ambayo labda mimi ilinipita?