Naww ni laini kama wema?Abeeeeeee
Ujikague wapi ambapo hujawahi kujikagua maisha yako yote?!Subiri nijikague
HahahahahaKumbe unakumbuka hili jina eh! Liko bomba.
Umewahi kushika jembe ww?!Kanizidi bwaana si Unajua jembe linavyofubaza....
Hahahahaha
Kuna uzi wake mmoja nkiusoma huwa napata raha sana
[emoji1] [emoji2]Naujua huo uzi Mkuuππ
Kwanini nilisahau Mkuu wakati Ndio jina nililopewa kwetu na wazee