Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa hapatoshi Malkia huyu akituma picha zake. Lakini naona watu wako Kimyaaaa hata ile team yake hakika Hakuna amsha amsha kama za awali. Hakika Hakuna marefu yasiyo na ncha