Hivi kweli wema ndio anaelekea ukingoni?

Hata Hamisa yuko juu kwa Sasa
Misa kampoteza wema....team wema wengi wanamsapoti misa

Na hama hama.vyama imemponza wema
Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa hapatoshi Malkia huyu akituma picha zake. Lakini naona watu wako Kimyaaaa hata ile team yake hakika Hakuna amsha amsha kama za awali. Hakika Hakuna marefu yasiyo na ncha

View attachment 669797 View attachment 669798 View attachment 669799 View attachment 669800
 
Huyo ni bibi wa kitanzania aliyechokwa na kuchakazwa vibaya na wanaume. Kwa sasa anapambana na hali yake.

Wema kwa sasa amechoka sana kimwili, kiakili na kisanii. Hakuna tena mtanzania yoyote mwenye Akili zake timamu anamfagilia.
 
Umaarufu huwa una mwisho wake na hao mashabiki huwa wanaangalia uproot unapoelekea.sio kila mmoja anakupenda.wengine wanatumia Jina lako ili wapate follower wafanye biashara zao. Kwa sana hivi wote wameangukia team hamissa kwa sababu wanamuona yupo top kwa kipindi hiki
 
huyu dada angekua mbali sana coz she is brand. lakini nashangaa sioni kupata madili ya matangazo.
 
Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa hapatoshi Malkia huyu akituma picha zake. Lakini naona watu wako Kimyaaaa hata ile team yake hakika Hakuna amsha amsha kama za awali. Hakika Hakuna marefu yasiyo na ncha

View attachment 669797 View attachment 669798 View attachment 669799 View attachment 669800
Zooming ya pic namba tatu inathibitisha she's just a by gone kunako kutumbo!
 
Wema Leo amepost picha zake Kali baada ya kufuta post zake zote za mwaka Jana. tangu mwaka mpya uanze Leo Ndio kapost picha zake cha kushangaza sio Kama kawaida ilivyokuwa awali, Zamani ilikuwa hapatoshi Malkia huyu akituma picha zake. Lakini naona watu wako Kimyaaaa hata ile team yake hakika Hakuna amsha amsha kama za awali. Hakika Hakuna marefu yasiyo na ncha

View attachment 669797 View attachment 669798 View attachment 669799 View attachment 669800
Ahamie nchi nyingine,hapa bongo ameshakuwa USED sana.
 
Back
Top Bottom