Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Aug 17, 2025 #1 Wakuu! Hebu tupeane uzoefu kidogo Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi? ✅ CV yako ilivyoandikwa? ✅ Uzoefu wako kazini? ✅ Ufaulu/GPA yako? ✅Kipaji? ✅ Au chuo ulichosoma?
Wakuu! Hebu tupeane uzoefu kidogo Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi? ✅ CV yako ilivyoandikwa? ✅ Uzoefu wako kazini? ✅ Ufaulu/GPA yako? ✅Kipaji? ✅ Au chuo ulichosoma?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Aug 17, 2025 #2 Unajuana na nani
LiFe 2-point-0 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 5,012 Reaction score 13,830 Aug 17, 2025 #3 Kikibwa sana wengi huangalia kama wanakujua (asilimia kubwa)
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Aug 17, 2025 #4 Uwezo wako na ww n nani
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 46,410 Reaction score 114,823 Aug 17, 2025 #5 Kwenye sekta binafsi wanaangalia sana kujuana
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Aug 17, 2025 #6 Ajira miaka hii ni Only Power of God. Na Bahati
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 24, 2025 #7 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw